Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

Wamepotea kabisa utafikiri Uzi hawauoni majinga sana haya yanayomtetea magufuli ni mwizi haijawahi tokea.
Nilitoa hii mada MIFUKO JA JAMII watu wakanitolea povu leo MZEE BABA kafafanua vizuli siwaoni wale wajanja wakujibu kila mada ongeeni chochote
 
Huyo sio mtanzania tena ana damu za ukorofi na ukabila na za mabeberu.Damu ya kinyaturu hana kwahyotumsamehe na kichwani bado dawa zimejaa bado hajapona jamani.
Imengia vizuri damu
IMG_20200915_101259.jpeg
 
Leteni uthibitisho kwanza wa madai yenu. Yaan chadema kila anachosema Lissu mnaamini tu bila hata kumuuliza yeye kajuaje.
 
Tatizo la wafanykazi wa Tanzania ni midabwada, watu hopeless and stupid ! Kuna wale ambao wana ka upenyo ka kupata bakishishi/marupurupu kazini, haya ya mifuko hayawahusu, "wanafidia" huku wanakochota. Kundi la walimu (siyo wote tafadhali, ila wengi wao wako hivyo) ni kundi la academic failures ambao walipata Div 4 na hivyo kujiona "afadhali" wanapata hata hicho kidogo! WAMEGAWANYIKA katika makundi ya imani/itifaki mbali mbali. Mapolisi/wanajeshi ni academic failures, wao wanaona kama wamekuwa favoured na hiyo wanashukuru hata kidogo hicho wanachokipata, wanapata virushwa rushwa, wanaona ahueni. Kuwaunganisha siyo kazi rahisi! Wanahitaji mental liberation!
Acha kubwabwaja comrade hujui kwamba katiba imetoa uhuru kwa kila mwananchi kuchagua chama chochote kadri wapendavyo.
Sio lazima wote tuichukie serikali.
 
Kwakwel si uongo nina miez sita sasa nasubiri ka mil 4 kang kutoka NSSF bada ya ajira ya mhind kukoma
 
Kila mtu apewe chake mapema,hakuna kusubirushana hadi uzeeni.
 
Back
Top Bottom