Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Vijana wa nchi nzima???? Sasa Mbowe c ndo angemuachia UENYEKITI "Jabali la kisiasa Tanzania na Africa"?????
 
Mambo ya kupita bila kupingwa yako huko kwenu CCM
okay sawa , mambo ya kupita bila kupingwa yako CCM...

sasa jibu swali...

huko CHADEMA anaetaka kiti katokea mmoja, kashindwa na kura za hapana, what's next ???

mnajaza vipi hicho kiti ???????

hukujibu, you have reached your wits end, yani kichwa chako kimefikiri, kimegota....

Walipoandika Katiba CHADEMA inawezekanaje hawakufikiria kitu obvious kama hicho?
 
Tunaitisha uchaguzi upya na kwa sasa Kaimu Mwenyekiti ni Baraka Mwago
 
Kwa nini Mbowe ampangie nafasi ya kuomba, alifaa kuwa Mwenyekiti wa Genge la Walanguzi (CDM)
 
Kwenye rangi nyekundu nimecheka kweli kweli,kumbe hata mwakani tukiamua tu ka muda kaongezwe zaidi inawezekana ili tusionekane wasaliti,napeleka hoja bungeni mwakani.
Chuma chuma tu.
 
Kwa nini wamepiga kura ya kuchagua Kaimu Mwenyekiti badala ya kufanya run off election ya kuchagua Mwenyekiti wa Kudumu?

Na katiba ya CHADEMA inasema makamu mwenyekiti anakalia kiti mpaka lini ?
 
Kwa nini wamepiga kura ya kuchagua Kaimu Mwenyekiti badala ya kufanya run off election ya kuchagua Mwenyekiti wa Kudumu?

Na katiba ya CHADEMA inasema makamu mwenyekiti anakalia kiti mpaka lini ?
Tatizo hujui na hutaki kujua.
Baraka Mwago ni Makamu Mwenyekiti Kanda so by default atakaimu nafasi ya Mkiti mpaka atakapopatikana
 
Tundu Lisu na DJ si ndio walio nunuliwa na maMvi kwa vipande vya fedha na yule aliyehoji ujio wa maMvi ali furushwa kwenye chama. Leo hii Nyumbu wana kushangilia wanaona wanapiga hatua za kisiasa. Kwa hakika aliye waita nyumbu hakukosea hata kidogo.
Weka pay slip au risiti ya manunuzi kama ushahidi, huna kajambie Lumumba
 
Kwanini Tundu Lissu akili kubwa anazidiwa na Mbowe? TL ilibidi ndiye awe mwenyekiti na siyo Mbowe. CHADEMA ni wanafiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…