Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Kwa sasa angalau demokrasia ya maigizo chadema wako Mbele kuliko ccm. Kwa sasa ccm kugombea uwenyekiti had uwe rais. Ukitaka kujua demokrasia ya ccm ya kijinga chukua fomu ya kumpinga magu now.muulize membe
Hata chadema ni hivyo hivyo wameweka kivuli kisicho na maana hasa kwenye nafasi ya mwenyekiti
 
Hata chadema ni hivyo hivyo wameweka kivuli kisicho na maana hasa kwenye nafasi ya mwenyekiti
Mbona Sumaye kapigiwa kura ya Hapana na alikuwa mgombea pekee? Si ndiyo demokrasia hiyo? Ama hujui? Sembuse Mbowe anapambana na majabali mawili?
 
Ccm hakuna democracy kwa sababu mag anawabinya wapinzani ,kama unavyoona mwenyewe je? Hata ninyi mnataka kuwa kama magufuli??
You are confusing yourself..
 
Back
Top Bottom