J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Dec 1, 2024 #1 ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni. View: https://www.youtube.com/watch?v=EwtQqt8HoTw
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni. View: https://www.youtube.com/watch?v=EwtQqt8HoTw
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Dec 1, 2024 #2 Painful.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Dec 1, 2024 #3 Tanzania imegeuka Somalia wachimba chumvi ambao wanatakiwa wawekewe mazingira bora ya kuishi wao ndio wanauawa...
Tanzania imegeuka Somalia wachimba chumvi ambao wanatakiwa wawekewe mazingira bora ya kuishi wao ndio wanauawa...
R REV KISOLO JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 235 Reaction score 145 Dec 1, 2024 #4 Isanga family said: Tanzania imegeuka Somalia wachimba chumvi ambao wanatakiwa wawekewe mazingira bora ya kuishi wao ndio wanauawa... Click to expand... CCM are killers of innocent people, especially of opposition side!?
Isanga family said: Tanzania imegeuka Somalia wachimba chumvi ambao wanatakiwa wawekewe mazingira bora ya kuishi wao ndio wanauawa... Click to expand... CCM are killers of innocent people, especially of opposition side!?
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Dec 1, 2024 #5 Inasikitisha sana. Amandla...