Kwani kwa sasa hatuna 'foreign policy' ?..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.
..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Wewe unayejua hebu tueleza nasi tuelemike,please.Lisu hajui chochote kuhusu ISRAEL na PALESTINA, anachojua yey ni kutafuta huruma na attention ya majority in order to satisfy human needs
Msema ukweli mtu mpenzi wa Mungu..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.
..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
HatersLisu hajui chochote kuhusu ISRAEL na PALESTINA, anachojua yey ni kutafuta huruma na attention ya majority in order to satisfy human needs
Umechelewa kumjua TALLisu hajui chochote kuhusu ISRAEL na PALESTINA, anachojua yey ni kutafuta huruma na attention ya majority in order to satisfy human needs
Vipi ikiwa anajilaani yeye mwenyewe kwa unyama anaowafanyia wanyonge huku akiendekeza ubaguzi wa rangi na ukatili?.Israel ni mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye hai.
Amebarikiwa ambarikiye, amelaaniwa amlaaniye,
Lissu ajiangalie.
Hapo kaongea pumba. Kongo hapo wanauana daily. Huko Gaza mbali. Au Kongo si watu? Sudan hapo kama kuku wanauana. Mpo kimya mnataka ya Gaza..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.
..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Sisi tuko Nyutroo !..Ujerumani wamewawekea vikwazo Rwanda, sio tulioko karibu tunaoteseka na uhuni wao tuko kimya.
Unamaanisha Lissu ajiangalie dhidi ya Israel ya Wazungu kutoka Ulaya?! Wakristo tusome Biblia na Vitabu vya Kidunia ili kupanua uelewa! Hiyo Israel unayoisema wewe doesn't exist anymore baada ya kunajisiwa na hawa Wazungu!Israel ni mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye hai.
Amebarikiwa ambarikiye, amelaaniwa amlaaniye,
Lissu ajiangalie.
Ina maana husikii yanayosemwa kuhusu DRC?! Tanzania haikutoa majeshi yake back in 2013 kwenda kupigana na M23?!Hapo kaongea pumba. Kongo hapo wanauana daily. Huko Gaza mbali. Au Kongo si watu? Sudan hapo kama kuku wanauana. Mpo kimya mnataka ya Gaza
Watanzania tu wanafiki wa daraja la kwanza.Tabia za nchi zimetulea na sisi tumekua nazo😂
Huku kjichi kipindi hiki cha mfungo,kuna godown moja la waarabu wanatoa misosi bure basi kobazi weusi hasa wanawake wanapigwa na jua kusubiri nje ya geti hadi kero.Utumwa bado upo aisee.Acheni kujipendekeza kwa waizraeli kwa mgongo wa dini.
Sisi tuko Nyutroo !
Wote wale wanatumia Bandari yetu !
Tunazihitaji Ngawira zao !
Kwahiyo tunajitahidi kuwapatanisha !
Sio kuchagua upande 😳 !
Vita imeisha? Mnataka kutoa wengine kwenda pigana na Israel 😁Ina maana husikii yanayosemwa kuhusu DRC?! Tanzania haikutoa majeshi yake back in 2013 kwenda kupigana na M23?!
Na Rwanda pia tuna biashara naye !..vita inayoendelea mashariki ya Drc inaathiri biashara kati yetu na Drc ikiwemo bandari yetu.
DRC ni Taifa Huru, na mbaya zaidi ile vita inachukuliwa ni ya wenyewe kwa wenyewe! Kwa mazingira kama hayo, taifa linalofuata sheria za kimataifa haliwezi kuingia vitani kwenye nchi nyingine pasipo na mwongozo wa UN au AU vinginevyo itakuwa unaingilia mambo ya ndani ya nchi huru! Hata mwaka 2013 tulivyopeleka majeshi kwa ajili ya kupigana na M23, kuna Kanuni ya UN ilibidi itenguliwe kwanza ndipo tukaingiza majeshi as a combat army! Na ndivyo pia ilikuwa kwa Comoros ingawaje sikumbuki vizuri kama ilikuwa enzi za JK au Mkapa!Vita imeisha? Mnataka kutoa wengine kwenda pigana na Israel 😁
Na Rwanda pia tuna biashara naye !
Sasa tunafanyaje zaidi ya kuwaomba waelewane tu !!!