Tundu Lissu adai Mwalimu Nyerere angelaani mauaji ya Gaza, tofauti na ukimya wa viongozi wa Afrika wa miaka hii

Tundu Lissu adai Mwalimu Nyerere angelaani mauaji ya Gaza, tofauti na ukimya wa viongozi wa Afrika wa miaka hii

..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Kwani kwa sasa hatuna 'foreign policy' ?
 
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.
Msema ukweli mtu mpenzi wa Mungu
 
Israel ni mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye hai.

Amebarikiwa ambarikiye, amelaaniwa amlaaniye,

Lissu ajiangalie.
Vipi ikiwa anajilaani yeye mwenyewe kwa unyama anaowafanyia wanyonge huku akiendekeza ubaguzi wa rangi na ukatili?.
 
...Laigwanan Lissu ameshawahi kukemea vita hivyo?

...ni wapi amefanya hivyo.l?

...anapenda kulalama tu iana kwamba yeye atakuja kufanya hivyo.
 
..Lissu ameyasema hayo ktk mhadhara alioutoa Makerere University.

..foreign policy ni moja ya eneo ambalo Tundu Lissu anasema Watanzania tunapaswa kujivunia na kumuenzi Mwalimu Nyerere.

Hapo kaongea pumba. Kongo hapo wanauana daily. Huko Gaza mbali. Au Kongo si watu? Sudan hapo kama kuku wanauana. Mpo kimya mnataka ya Gaza
 
..Ujerumani wamewawekea vikwazo Rwanda, sio tulioko karibu tunaoteseka na uhuni wao tuko kimya.
Sisi tuko Nyutroo !
Wote wale wanatumia Bandari yetu !
Tunazihitaji Ngawira zao !
Kwahiyo tunajitahidi kuwapatanisha !
Sio kuchagua upande 😳 !
 
Israel ni mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye hai.

Amebarikiwa ambarikiye, amelaaniwa amlaaniye,

Lissu ajiangalie.
Unamaanisha Lissu ajiangalie dhidi ya Israel ya Wazungu kutoka Ulaya?! Wakristo tusome Biblia na Vitabu vya Kidunia ili kupanua uelewa! Hiyo Israel unayoisema wewe doesn't exist anymore baada ya kunajisiwa na hawa Wazungu!
 
Hapo kaongea pumba. Kongo hapo wanauana daily. Huko Gaza mbali. Au Kongo si watu? Sudan hapo kama kuku wanauana. Mpo kimya mnataka ya Gaza
Ina maana husikii yanayosemwa kuhusu DRC?! Tanzania haikutoa majeshi yake back in 2013 kwenda kupigana na M23?!
 
Sisi tuko Nyutroo !
Wote wale wanatumia Bandari yetu !
Tunazihitaji Ngawira zao !
Kwahiyo tunajitahidi kuwapatanisha !
Sio kuchagua upande 😳 !

..vita inayoendelea mashariki ya Drc inaathiri biashara kati yetu na Drc ikiwemo bandari yetu.
 
Vita imeisha? Mnataka kutoa wengine kwenda pigana na Israel 😁
DRC ni Taifa Huru, na mbaya zaidi ile vita inachukuliwa ni ya wenyewe kwa wenyewe! Kwa mazingira kama hayo, taifa linalofuata sheria za kimataifa haliwezi kuingia vitani kwenye nchi nyingine pasipo na mwongozo wa UN au AU vinginevyo itakuwa unaingilia mambo ya ndani ya nchi huru! Hata mwaka 2013 tulivyopeleka majeshi kwa ajili ya kupigana na M23, kuna Kanuni ya UN ilibidi itenguliwe kwanza ndipo tukaingiza majeshi as a combat army! Na ndivyo pia ilikuwa kwa Comoros ingawaje sikumbuki vizuri kama ilikuwa enzi za JK au Mkapa!
 
Na Rwanda pia tuna biashara naye !
Sasa tunafanyaje zaidi ya kuwaomba waelewane tu !!!

..tunatakiwa tushinikize amani irudi DRC.

..kwa malengo na mtizamo wa muda mrefu, Rwanda hawana faida kwetu kuizidi DRC.
 
Back
Top Bottom