Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

Lucas weka namba wakutumie hela ya bando. Uteuzi ni mgumu sana kuupata kwa namna hii.
Naomba wewe labda ukisaidie chama changu kujibu hoja. Tutafurahi sana kupata mtu wa kupangua hoja kwani hata KINANA ameshindwa kujibu, Nape ameshindwa kujibu hoja. Hangaya ndio amenywea kabisa sasa wewe ndugu utaweza kweli????
 
Angalau jaribu ujitumue kujibu hoja badala ya shutuma. Ukimjibu Tundu tu ndipo utapata uteuzi wako mapema la sivyo utasumbuka sana mwana CCM mwenzangu.
 
Angalau jaribu ujitumue kujibu hoja badala ya shutuma. Ukimjibu Tundu tu ndipo utapata uteuzi wako mapema la sivyo utasumbuka sana mwana CCM mwenzangu.
Lissu hana hoja za kujibiwa zaidi ya maneno yake ya ubaguzi na chuki tu za kijinga jinga. Ndio maana hata yeye anafanya kazi ya kusema anatoa ufafanuzi
 
Lissu hana hoja za kujibiwa zaidi ya maneno yake ya ubaguzi na chuki tu za kijinga jinga. Ndio maana hata yeye anafanya kazi ya kusema anatoa ufafanuzi
Kama Lisu huoni kwamba ana hoja basi kukuelewesha wewe ni kazi kubwa ndio maana hata unaowatetea hawawezi kukuteua kwa ufahamu huu.
 
TATIZO unafikiria kwa KUTUMIA MAKALIO na sio kichwa
 
Acha kutisha watu anachosema yuko sahihi kwani anapotosha nini!mbona hata wana ccm wanapotosha watu tena hao ndio wabaya zaidi ya Lissu
 
Acha kutisha watu anachosema yuko sahihi kwani anapotosha nini!mbona hata wana ccm wanapotosha watu tena hao ndio wabaya zaidi ya Lissu
Lissu ni lazima akemewe sana maana ni adui wa Taifa letu.
 
T
Mkuu taratibu tutaelewana tu
 
We makota kweli...kwani ile kauli ya kutokupereka maendeleo kwenye kata au jimbo la chadema ni nini

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
...Ati!! Halafu, mada nzima ni kuh. TAL kama wambea wa mitaani! Kw mtu mwenye kupenda kusambaza mada zake mitandaoni, ingependeza angetuletea zenye mantiq. Hizi ngonjera za umbea na kumsengenya mtu aachane nazo. Kama TAL mwnywe kaxema ana watt nje, na si wa kwanza, hatuhitaji kusikia upya. Kavunja sheria? Ingependeza kama Luka angepinga alichosema TAL, kw ktoa 'quotes' toka kwny katiba husika. Ati waTz wanaxema hiki, wanataka kile kama vile yy ni Mtakwimu Mkuu!!... uchawa kumbe ni ugonjwa, kumbe C uzalendo! ...dah!
 
Rubbish..
Mzanzibari yupo ikulu ya watanganyika au hayupo?. Mbona huwa hamjibu hoja?.
 
Tundu Lissu siyo mbaguzi hata kidogo. Kama angekuwa mbaguzi miaka yote hiyo tungekwisha jua kwamba hi mbaguzi. Isipokuwa jambo analoliongelea ili kumwelewa vizuri unahitaji kuwa na akili timamu tu. Otherwise, uta'miss out'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…