antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duh,Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania..
Kwa hiyo wewe ndiyo watanzania?
Acha porojo na propaganda za kijinga. Weka hapa ushahidi.Hii ni kwa kuwa watoto wa Lissu wana Uraia wa Marekani ,
Hata hili hujui sababu?!!!Sasa hamjiulizi kwanini alikwenda kujificha ubalozini?
Ilikuwa muhimu ili asiuliwe na lile kundi haramu la jpm la wasiojulikana.
Acha uhuni dogo..Watanzania tumuogope na kuwaogopa kama ukoma watu aina ya Lissu
Wewe na machawa wenzio ndiyo wa kuogopwa kama ukoma maana mnapotosha Watanzania kwa uongo mwingi.
Halafu nikushauri, tafuta kazi ya kufanya, uchawa haulipi. Kuna siku utadaiwa mabilioni ya pesa kufidia watu kutokana na kuwachafua mitandaoni kwa uzushi wako unaotokana na chuki na usio na ushahidi wowote