Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kutikisa nchi, aongoza maandamano makubwa Iringa

Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kutikisa nchi, aongoza maandamano makubwa Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.

Hali ndio kama unavyoiona

Screenshot_2024-05-02-16-21-30-1.png
Screenshot_2024-05-02-16-21-00-1.png
Screenshot_2024-05-02-16-21-44-1.png
Screenshot_2024-05-02-16-20-32-1.png
Screenshot_2024-05-02-23-34-03-1.png
 
Huyu jamaa siku akihama hicho chama tamuunga mkono...

Ni kiongozi.
 
Tindu Lissu ni Mtikila aliyefufuka, Ni Warrier, Jasiri mwenye Jeuri

Kiboko ya Wapumbavu na Wajinga wajinga wasio na Hoja

Tunaitaka Tanganyika Yetu Huru, iwe Asubuhi, Mchana au Usiku.
Jeuri gani kaleta.
 
Tumejitokeza watu wengi tumevunja record ya Tz nzima leo tulikua tupo watu 50 kwenye maandamano
 
Bila shaka nimeanza kumfuatilia akiwa kwenu ila nikimwangalia ...

Ni kama pundamilia kwenye kundi la punda.
Umepewa ushauri pale juu jiungeni wengi Chadema ili muwaondoe wasanii
 
Back
Top Bottom