Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kutikisa nchi, aongoza maandamano makubwa Iringa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu jamaa siku akihama hicho chama tamuunga mkono...

Ni kiongozi.
 
Tindu Lissu ni Mtikila aliyefufuka, Ni Warrier, Jasiri mwenye Jeuri

Kiboko ya Wapumbavu na Wajinga wajinga wasio na Hoja

Tunaitaka Tanganyika Yetu Huru, iwe Asubuhi, Mchana au Usiku.
Jeuri gani kaleta.
 
Tumejitokeza watu wengi tumevunja record ya Tz nzima leo tulikua tupo watu 50 kwenye maandamano
 
Bila shaka nimeanza kumfuatilia akiwa kwenu ila nikimwangalia ...

Ni kama pundamilia kwenye kundi la punda.
Umepewa ushauri pale juu jiungeni wengi Chadema ili muwaondoe wasanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…