Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ShikamooHuyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
MarhabaaaShikamoo
Itakuwa alimzidi umri mumewe,huyu mama hakosi miaka 100Huyo mama ame kula chumvi nyingi, Mungu aendelee kumlinda.
Kipindi hicho mlikuwa mnatembea na ving'ora kwa heshima ya mzee wako. Au yeye alikuwa hana makuu?Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
Ina wezekanaItakuwa alimzidi umri mumewe,huyu mama hakosi miaka 100
Duh mke mzungu tenaMwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amefika nyumbani kwa hayati Sarungi kuhani Msiba.
View attachment 3264674View attachment 3264677
Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye
Fikiria kabla ya kuandika. Watoto wa Nyerere walikuwa wanatembea na ving'ora?K
Kipindi hicho mlikuwa mnatembea na ving'ora kwa heshima ya mzee wako. Au yeye alikuwa hana makuu?
Nawe kijeba!Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
Shida Nini akiwa mzungu!Duh mke mzungu tena
Duu. Utakuwa babu bila shaka.Huyu mke wa Prof.
Nilimuona kwa mara ya kwanza( na ya mwisho) 1970.
Mwamba unaejibu ni mkongwe Sana jukwaani humu na anabadili anwani zake Sana. Tulioanza nae hawezi kutusumbua ki-viiile. Ni mtoto wa hayati Father, infact alichoandika - anakijua vizuri.Duu. Utakuwa babu bila shaka.