Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Kikwete hajawakilisha serikali, ni rafiki wa familia(family friend). Tuliokuwa jirani na familia ya Sarungi enzi hizo tunajua.
Au kama walivyokuwa Dr. Shaba na Dr. Mwanukuzi (wote rip). Unafikiri mimi ni mtoto wa juzi kama wewe sio?😎
 
Lissu kila mahali
Hiyu ni baba yake Maria Saringi.

Lissu na Maria Sarungi wana urafiki mkubwa katika mambo ya kudai uhuru na demokrasia.

Lissu asingeenda kutoa poke msiba wa Maria Sarungi ndiyo watu tungeshangaa.

Lissu kwenda kutoa pole msiba wa kwa Sarungi ni kitu tulichotegemea.

Kikwete kashafanya kazi mpaka kwenye cabinet level na Profesa Sarungi. Hivyo kwenda kutoa poke hapo si ajabu.
 
Kwani kuna shida?
 
Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La
Huo ujinga huwa wanaelezwa manyumbu tu huku wanapigwa tone-tone. JK unamwelezaje ulafa kama huo? Na umweleze yeye akiwa kama nani?!!! Ameshajistaafia.
 
Wengi walioenda miaka zaidi 5 Cuba Hungary Yugoslavia USSR ....Poland East German wakirudi na hao wazungu....watito wao wana umojacwao wa point 5 kibao mjini hapa.....
 
Yaah nina jirani yangu alisomea udaktari Rusia alikuja na kirashia chake hapa
Ni kweli zama zile kulikuwa na upepo huo madingi wakienda mbele kusoma basi wanarudi na wake wa kizungu. Wazee walikuwa obsessed sana ngozi nyeupe zama zile. Ni ujiko yaani.
 
Back
Top Bottom