milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huyu mke sio Mrusi kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakizeeka sasa huatawataka😂😂Ni kweli zama zile kulikuwa na upepo huo madingi wakienda mbele kusoma basi wanarudi na wake wa kizungu. Wazee walikuwa obsessed sana ngozi nyeupe zama zile. Ni ujiko yaani.
Lisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungi
Kikwete alikuwa mple mno na aliwakaribisha hadi akina Lisu ikulu wakanywa hadi chai naye a
Lakini Lisu alichomlipa Kikwete ni matusi kuliko akiyotukana Mbowe
Na Lisu ndie alisababisha CCM imteue mgombea mkali kumzidi Magufuli ili kumdhibiti Lisu
CCM ikaona kwa siasa akina Lisu walikuwa wakiendesha hatakiwi tena mtu mpole kama Kikwete kushika uraisi
CCM ikaamua dawa ya moto ni moto ikaamua Magufuli apewe uraisi
Na kweli Lisu haji kusahau ubabe wa Magufuli alikimbia nchi mwenyewe kama mwehu
CCM ukileta siasa za kistaarabu watafanya siasa za usitaarabu ukileta za kibabe CCM ndio baba wa ubabe hutoboi
Kitapundua kila kitu kichwa chini miguumjuu kila eneo ndio maana kinaitwa chama cha Mapinduzi
Huyu mke sio Mrusi kweli?
Kama hivyo yaani. Wazee wengi walichukua mamaza wa kitasha ili wapate watoto chotara, wenye "white supremacy".Wakizeeka sasa huatawataka😂😂
Umejuona ndio nini wewe kilaza?😎Sasa umejuona nani wa serikali hapo?
mnataka tulinganishe na vibibi vyenu vya kibongo vilivyong'oka meno?Kama hivyo yaani, bumunda sio bumunda, yaani taabu tupu.
Kesho ndiyo wanazika KinondoniKwani msiba umeisha, lini wamezika?
NdiyeHuyo hapo ndiye mama yake na Maria sarungi nauliza tu
Steve Nyerere na Shilole Wamekubali?Kwa kweli nimefurahi sana kuona hii picha.
Na ndio Tanzania tunayoitaka.
CCM tubadilike.
Ila mrembo sanaHuyo mama ame kula chumvi nyingi, Mungu aendelee kumlinda.
Hahaha, kwa enzi zake lakini.Ila mrembo sana
Ndio ni mzaliwa wa Ludewa huyu mamaHuyu mkewe ni Mtanzania?
Mbona povu jingi, kung'oka meno inategemea, bibi yangu ana 89 na ana meno yote intact. We utakuwa chotara wewe. 😁mnataka tulinganishe na vibibi vyenu vya kibongo vilivyong'oka meno?
Hapana. Mama yake maria aliachana muda na prof.Huyo hapo ndiye mama yake na Maria sarungi nauliza tu