Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.

Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

View attachment 3264674View attachment 3264677

Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye

Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La

View attachment 3264994
Jambo jema.
 
Wanasiasa ni wanafiki sana, waone hawa!
 
Lisu mnafiki mkubwa kilichompeleka hapo ni kujikomba kwa Maria sarungi

Kikwete alikuwa mple mno na aliwakaribisha hadi akina Lisu ikulu wakanywa hadi chai naye a

Lakini Lisu alichomlipa Kikwete ni matusi kuliko akiyotukana Mbowe

Na Lisu ndie alisababisha CCM imteue mgombea mkali kumzidi Magufuli ili kumdhibiti Lisu

CCM ikaona kwa siasa akina Lisu walikuwa wakiendesha hatakiwi tena mtu mpole kama Kikwete kushika uraisi

CCM ikaamua dawa ya moto ni moto ikaamua Magufuli apewe uraisi

Na kweli Lisu haji kusahau ubabe wa Magufuli alikimbia nchi mwenyewe kama mwehu

CCM ukileta siasa za kistaarabu watafanya siasa za usitaarabu ukileta za kibabe CCM ndio baba wa ubabe hutoboi

Kitapundua kila kitu kichwa chini miguumjuu kila eneo ndio maana kinaitwa chama cha Mapinduzi
Umeandika upuuzi.

Get your mind settled to bring sensible material.
 
Hapana. Mama yake maria aliachana muda na prof.

Pia punguza Umbea kwenye maisha binafsi ya watu ; ukishajua ni mama yake au sio itakusaidia nini?
Nilitaka kujua tu Wala SI Kwa umbeya asante lakini Kwa kunielewesha
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa.

Soma Pia: Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

View attachment 3264674View attachment 3264677

Lissu katika msiba huo amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kusalimiana naye

Haijafamika kama Lissu alimweleza chochote Mzee Kikwete kuhusu No Reform No Election au La

View attachment 3264994
Mzee kikwete ukimwangalia ,omeonesha furaha yote toka mwoyoni
 
Hivi huyu Erythrocyte kwanini huwa anamu-undermine sana Lisuu. Nyuzi zake zote anaanza kwa kuandika Tundu Lissu....!

Kumbuka Lissu ni Kiongozi na ana wadhifa. Huyu unapaswa kumuandika kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe/Ndugu Tundu Lissu.

Kama huyu ndiye mtendaji wa chama hiki wa mawasiliano, ame fail sana.
 
Huo ujinga huwa wanaelezwa manyumbu tu huku wanapigwa tone-tone. JK unamwelezaje ulafa kama huo? Na umweleze yeye akiwa kama nani?!!! Ameshajistaafia.
Nani kasema kastaafu? Huyu ndio anaempoteza Samia kusaini mikataba mibovu!! Sasa Hivi Wamesuka deal wanunue umeme toka Ethiopia 😂😂
 
Hivi huyu Erythrocyte kwanini huwa anamu-undermine sana Lisuu. Nyuzi zake zote anaanza kwa kuandika Tundu Lissu....!

Kumbuka Lissu ni Kiongozi na ana wadhifa. Huyu unapaswa kumuandika kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe/Ndugu Tundu Lissu.

Kama huyu ndiye mtendaji wa chama hiki wa mawasiliano, ame fail sana.
Chadema tumekubaliana kutaja majina tu wala siyo Mheshimiwa
 
Back
Top Bottom