Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Au kama walivyokuwa Dr. Shaba na Dr. Mwanukuzi (wote rip). Unafikiri mimi ni mtoto wa juzi kama wewe sio?😎Kikwete hajawakilisha serikali, ni rafiki wa familia(family friend). Tuliokuwa jirani na familia ya Sarungi enzi hizo tunajua.