Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chadema mnamkana sasaWe ni mpuuzi, yaani Lissu akifanya jambo lake binafsi unalihusisha na Chadema?
Inamaana Lissu akimkanyaga mkeo utasema Chadema wame kut..bea wife?
Acha ujinga!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.
Bendera iheshimiwe.
Mkuu wacha nicheke tu....haina tatizo.
..mbona Bendera zinaachwa zinanyeshewa na mvua na kupigwa na jua hamsemi kitu?
..watu waachwe wafanye lolote wanalotaka na Bendera.
..Wanaotaka kujifunika na Bendera, ruksa.
..Wanaotaka kupangusa jasho, kamasi, mkojo, mavi, vyote, ruksa.
Acha mawazo ya kijinga
Umesahau namba ya simu ndugu yangu katika chamaAcha mawazo ya kijinga
👊🙏💪@Colonel McCoyNi Abidjan..
Sio Abijan.
ndio ,lisu anamarafiki duniani wewe hata uliomalizana nao kidato Cha nne mkondo c , wamekutenga chunga sana maandishi wako juu ya magwiji wa siasa zakisasa na maendeleo na democrasia aina ya Lisu Antipas mugwaiGarama zao binafsi? Una hakika?