Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.

Bendera iheshimiwe.

..haina tatizo.

..mbona Bendera zinaachwa zinanyeshewa na mvua na kupigwa na jua hamsemi kitu?

..watu waachwe wafanye lolote wanalotaka na Bendera.

..Wanaotaka kujifunika na Bendera, ruksa.

..Wanaotaka kupangusa jasho, kamasi, mkojo, mavi, vyote, ruksa.
 
Mkuu wacha nicheke tu..

Haya, tutarejea kwenye posti hii in a distance future.
 
Huyu ndugu ni mtafiti nadhani Yuko huko kuitafutia taifa suluhu yakudumu tutamsikia baada ya mashindano kuisha na inawezekana akaangalia mashindano mpaka yakaisha

Kikwete jr ,anavokiligi openly kwenye majukwaa ya siasa kwamba ,LISU sio wakumchukulia poa hua anamanisha

Jakob Zuma(rais mstaafu south Africa) ,bila lisu kwenye Ile kesi ya ubakaji inawezekana mapaka Leo angekuwa lupango
 
Garama zao binafsi? Una hakika?
ndio ,lisu anamarafiki duniani wewe hata uliomalizana nao kidato Cha nne mkondo c , wamekutenga chunga sana maandishi wako juu ya magwiji wa siasa zakisasa na maendeleo na democrasia aina ya Lisu Antipas mugwai

Chunga sana sikunyingine utajikuta mdomo umepinda huo
 
Back
Top Bottom