Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

Ina maana hujaona kuaiwa kupita Serengeti kwa sababu ya muda? Hivyo akipita asubuhi hatoweza kufanya mikutano yote, Kama hiyo taarifa yako Niya kweli
 
Ushindani gani anaokabiliana nao Mbowe? Fanya uje Hai uone masisiemu yanavyoteseka kabla hata Mbowe hajaanza kampeni
 
Lissu hatishiki na chochote, nimeona mahali Sabaya alishaandaa watu wa kufanya ule ujinga wake kwenye msafara wa Lissu akiwa Hai, naamini Chadema watakuwa wamepata hizo habari sasa wanajipanga upya, all the best.

Hapo Hai hapatatosha, Sabaya na wenzake wasilete mchezo wao, safari hii watavuna wanachopanda.
 
Ni kwli mkutano hautofanyika hai kutokana na Jana kuchelewa kutoka Serengeti na kukuta Geti la Hifadhi likiwa limefungwa. Ivyo safar ya kutoka Huko mpka Hai ni mbali mnoo
 
Ni kwli mkutano hautofanyika hai kutokana na Jana kuchelewa kutoka Serengeti na kukuta Geti la Hifadhi likiwa limefungwa. Ivyo safar ya kutoka Huko mpka Hai ni mbali mnoo
Angeruka nachopa??
 
Sababu kubwa ni kuwa jana alizuiliwa kwenye gate la hifadhi ya serengeti. Mpaka saa sita usiku alikuwa hajaruhusiwa kupita kuelekea arusha pamoja na taratibu zote kufuatwa.
 
Kumbe Kiswahili hakimpigi chenga Rais pekee yake.

Johnthebaptist, hatusemi kuhairisha bali ni KUAHIRISHA. Au na wewe ni mhamiaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ametibuana na Mbowe.
Mbowe kakataa kutoa fungu la kampeni.
 
Kwahiyo wamemuogopa sabaya?
 
Kuna mgongano kati Lissu na Mbowe, hali ni ngumu Lissu anadai mustakabali baada ya uchaguzi.

Mgogoro umeuleta wewe? Kaa vizuri dawa ikuingie. Ukizinduka tu brek ya kwanza ni kumpigia Lissu kura
 
Kwakweli akili yako ina matege!
Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.
 
Chuma bado kipo na leo mkutano upo pale plae
 
Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.
Bongo zenu zimeshaathirika na ukada!
 
Kuomba atafutiwe kasichana na kigogo ni kitu cha kijinga????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…