Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindani gani anaokabiliana nao Mbowe? Fanya uje Hai uone masisiemu yanavyoteseka kabla hata Mbowe hajaanza kampeniNimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa Chadema kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Party ya.nini?Leo kutakua na party Lumumba
Angeruka nachopa??Ni kwli mkutano hautofanyika hai kutokana na Jana kuchelewa kutoka Serengeti na kukuta Geti la Hifadhi likiwa limefungwa. Ivyo safar ya kutoka Huko mpka Hai ni mbali mnoo
Sababu kubwa ni kuwa jana alizuiliwa kwenye gate la hifadhi ya serengeti. Mpaka saa sita usiku alikuwa hajaruhusiwa kupita kuelekea arusha pamoja na taratibu zote kufuatwa.Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
chopa si mliizuia kwa maelekezo kuwa rubani ni mzee wa miaka 55 hivyo haruhusiwi kurukaAngeruka nachopa??
Kumbe Kiswahili hakimpigi chenga Rais pekee yake.Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.
Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.
Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Huko mnapoteza muda wenu bure, bora mngeelekeza nguvu zenu Lindi, Mtwara na Ruvuma.Party ya nini maka?
Siye tuko Mbeya tunamsambaratisha Sugu!
Kupata dua nyingine za kuku kama hizi tuma ujumbe mfupi wa sms we nye neno CCM2020 kwenda 7272Kuna mgongano kati Lissu na Mbowe, hali ni ngumu Lissu anadai mustakabali baada ya uchaguzi.
Inzi wa kijani waliovimbewa je?.najua unajua wanakula wp.Lissu ana haha tu hana mpangilio wa kampeni
Kwahiyo wamemuogopa sabaya?Lissu hatishiki na chochote, nimeona mahali Sabaya alishaandaa watu wa kufanya ule ujinga wake kwenye msafara wa Lissu akiwa Hai, naamini Chadema watakuwa wamepata hizo habari sasa wanajipanga upya, all the best.
Hapo Hai hapatatosha, Sabaya na wenzake wasilete mchezo wao, safari hii watavuna wanachopanda.
Ndiyo kazi yakoKuna mgongano kati Lissu na Mbowe, hali ni ngumu Lissu anadai mustakabali baada ya uchaguzi.
Kuna mgongano kati Lissu na Mbowe, hali ni ngumu Lissu anadai mustakabali baada ya uchaguzi.
Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.Kwakweli akili yako ina matege!
Bongo zenu zimeshaathirika na ukada!Lissu anawatuhumu Mbowe na Mnyika wameuza majimbo 17 ya ubunge, kuna ugomvi ndiyo maana wamemsusia mikutano yake yuko peke yake naw atu wake tu bila mwenyekiti na katibu mkuu.
Kuomba atafutiwe kasichana na kigogo ni kitu cha kijinga????johnthebaptist, mbona unahangaika hivi? Siku ya Rais Mtarajiwa kuwa Hai mbona bado sana? Ulivyo mpuuzi ulijua tu utawapata wajinga wenzio kutoka Lumumba wakupe likes. Mh. Tundu Antiphas Lissu ni level nyingine kabisa na ukome kumfananisha na vitu vya kijinga.