Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ije mvua ije jua chama lazima kipiganiwe.Kuenzi fikra na mawazo ya mwenyekiti na mapinduzi.Ndio morale ya wananchi kwa sasa
 
Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?
Wenzio wanatafakari kilichojiri....wewe malizia kunywa mtori!
 
Kama ni kweli atakua anaumwa hali mbaya kama walivyomzushia magu
 
johnthebaptist, mbona unahangaika hivi? Siku ya Rais Mtarajiwa kuwa Hai mbona bado sana? Ulivyo mpuuzi ulijua tu utawapata wajinga wenzio kutoka Lumumba wakupe likes. Mh. Tundu Antiphas Lissu ni level nyingine kabisa na ukome kumfananisha na vitu vya kijinga.
 
Back
Top Bottom