Mwenye picha ya video yake akitabainisha kuwa atakuwa huko na timu kwa mechi 2 dhidi ya Morocco na DRC na baadae kuweka nao kambi nchi ya jirani anaweza kutuwekea.
=======
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ni miongoni mwa Watanzania waliosafiri hadi Ivory Coast kushuhudia ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Africa la TotalEnergies (AFCON) ambapo amerekodi video hii fupi akiwa nje ya Uwanja wa Quattara Jijini Abidjan na kusema Timu ya Tanzania Taifa Stars itarudi na kombe hilo nyumbani.
“Tumepuuzwa kiasi cha kutosha, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, unyonge wetu ndio uliotufanya tupuuzwe na kudharauliwa, Vijana wetu wamesema sasa basi, wamekataa kuendelea kupuuzwa na kudharauliwa…. huu ni wakati wa kuwaunga mkono uwanjani wanakochezea, tuko hapa kwa ajili hiyo
Mwenye picha ya video yake akitabainisha kuwa atakuwa huko na timu kwa mechi 2 dhidi ya Morocco na DRC na baadae kuweka nao kambi nchi ya jirani anaweza kutuwekea.
Kama hilo ni kweli, Sasa hivi utatumwa ujumbe mkali wa kutoruhusu Lisu kukanyaga kwenye timu hiyo. Na atakachoambiwa Lisu ni maagizo toka juu asiitembelee hiyo team. Hiyo ni team ya ccm, na wanaitumia kujitangaza kisiasa hasa kuelekea uchaguzi, Sasa mpinzani makini kama Lisu itakuwa kama anataka kupora kete Yao.
Lissu ni kati ya sisi wachache wenye akili kwenye nchi hii. Nawachukia mpaka Leo watu waliotaka kumuua. Naamini kabla hajafaa watakuwa wamekufa wote ukiwemo wewe.
Kama hilo ni kweli, Sasa hivi utatumwa ujumbe mkali wa kutoruhusu Lisu kukanyaga kwenye timu hiyo. Na atakachoambiwa Lisu ni maagizo toka juu asiitembelee hiyo team. Hiyo ni team ya ccm, na wanaitumia kujitangaza kisiasa hasa kuelekea uchaguzi, Sasa mpinzani makini kama Lisu itakuwa kama anataka kupora kete Yao.
Hivi Taifa stars ni ya ccm pekee au huyu Tundu Lissu sio Mtanzania kama walivyo hao wachezaji? Ingefaa na yeye awemo kwenye timu atupe burudani, labda wangemuhurumia 🙂