Tundu Lissu aibukia Ivory Coast kwenye Kambi ya Taifa Stars

sisiemu walivyo wajinga na wapumbavu wataingia gharama kutuma machawa ili waende ivory coast sio kwenda kutoa hamasa kwa timu ya taifa, bali kumkabili tundu lissu
 
LIssu ana mkosi wa kushindwa hiyo timu ashaitia nuksi haiwezi shinda!
Watu mna roho mbaya kumzidi hata shetani!! Yaani kiongozi kuwasindikiza na kuwatia moyo vijana tayari nongwa! Loo!

Nilifikiri hiyo ni hatua nzuri kwa nchi yetu kuungana pamoja kwenya maswala ya kijamii na michezo ili utanzania wetu udumu.

Au unaendekeza ubaguzi wa Magufuli??
 
Tangu lini lissu aliitakia mema nchi!
 
sisiemu walivyo wajinga na wapumbavu wataingia gharama kutuma machawa ili waende ivory coast sio kwenda kutoa hamasa kwa timu ya taifa, bali kumkabili tundu lissu
Si umeona yule mwehu anataka mdaharo na Lissu. Kwa hili la Kumpuuzia, CDM wamecheza kama Pele.
 
aje kwenye mdahalo
 
Ujumbe mzito sana.......

Akili ndogo watajisomba wotekwenda huko
 
Misisiyemu imemtuma Joti na Mwijaku, wakawachekeshe wachezaji?
 
Hiyo timu haina matayarisho ya kutosha na pia hatuna wachezaji mahili kama ,Mohamed Bakari Kajole, Juma Pondamali Mensa, Abdala Kibadeni, Jela Mtwagwa, Malota soma, Ezekiel Greson Jujuman, Juma Mgunda, Pita Tino,, Ledga Tenga, Sembuli, Zamoyoni Mogela, Lunyamila, Sunday Manara na wengine wengi wa enzi hizo. hii timu ya wala chips na Mo energy haifui Dafu kws wala magimbi na pilipili yote kwa yote Zetu dua.
 
Hivi Mbowe atakubali Lisu agombee Urais 2025??

Au atanadi hiyo nafasi kwa mtu mwingine kama kawaida maana kwa Lisu biashara haikulipa ni kama walipata hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…