Tundu Lissu aibukia Ivory Coast kwenye Kambi ya Taifa Stars

miaka yote timu ya taifa inafanya vibaya kimataifa ni gundu la nani?.

'huko nyuma' ulishawahi kumuona lissu akijihusisha na taifa stars?.

msitafute kisingizio maana tunajua mmeenda huko kusindikiza wengine.
Acheni utoto, Lissu kakimbia maandamano.
 
Ni habari njema .
Taifa stars ni mali ya kila mtanzania, mtu kama Tundu Lisu moja ya viongozi wakubwa kisiasa Tanzania amefanya vema kwenda kuwatia moyo vijana wetu.
 
Safi sana TL.....umetuwakilisha kama Taifa.


Nimeipenda hii
 
Kwa tukio hili na ubunifu huu wa Lissu tutarajie mwakani Crew yote ya ccm itaambatana na Taifa Stars
 
Nimeipenda sana hii,
Mwenyezi Mungu Ibariki Taifa stars, mbariki na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…