Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

sasa Lisu anapotoka zaidi na pia anatudanganya,

1. wagombea walio enguliwa wameenguliwa kwa kasoro na dosari ktk ujazaji wa fomu zao sasa hapo tume unataka ifanyaje? iwajazie wagombea walio shindwa kujaza fomu zao kwa usahihi?! haiwezekani lazima sheria na taratibu zifuatwe....tusilazimishe mambo yasiyo wezekana.
tuiache tume ifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria na sio kuishinikiza.

2. Kuishinikiza tume ifanye jambo kwa matakwa yako hilo lenyewe ni ukiukwaji wa maadili.....Lisu amesikika mara kadhaa akiishinikiza Tume ya uchaguzi kiasi cha kuipandia kichwani.....hayo sio maadili ya uchaguzi.......

3. kama Lisu hana imani na tume...awasilishe malalamiko yake yasikilizwe na sio kuchonganisha wananchi na Tume au kuchochea kuvuja amani...hili ni kinyume na maadili

Tumeshuhudia Tume kupitia mkurugenzi wake wakitoa maamuzi juu ya rufaa nyingi na wagombea wengi wamerudishwa kugombea.....hiyo tu ni dalili tosha kuwa Tume inafanya kazi zake kwa uadilifu na kwa kuzingatia sheria. sasa anacho kifanya Lisu ni kuishinikiza tume iogope na ifanye kazi kwa matakwa yake Lisu...si sawa.
 
Bravooo Bravooooo Mzalendo!
Well said!!
 
Kwahiyo kutaja ndege na uwanja wa chato ndio tusi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana
Nyinyi ndio wenyechenu maana mushachukua chenu mapema tirioni 1.5 pamoja na uwanja wa chato

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Amani bila ya haki hapo hapatoshi

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila bora ule ulichokinunua mwenyewe,kuliko matango poli.ila huu mwaka kampeni zimekuwa tofauti na walivyotuaminisha wtz duh+kamwene monogage
 
Deo Mwanyika Ana sifa We ngumbaru?
 
Ndani ya CCM ya sasa hakuna anayeweza kuzijibu hoja za Lissu....ana upeo mkubwa mno wa kujenga hoja!!

CCM na Tume jipangeni upya.. kwa hoja hizi za Lissu tayari nyie ni watuhumiwa wa kula njama za kujaribu kuvuruga uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…