Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wale wamasasi bado wanaroho mbaya.Ili mumuue
Kizimkazi kaurudisha ubaya maradufu ya ule wa dhalim wa chato anakwenda na kauli mbiu ya Simba ya ubaya ubwela .Hizi siyo zama za uroho uroho πΌ
Mbowe ametuma vijana wamuue ila lissu ameshtukia mchezo πSafi sana!
Hongera sana Tundu Lissu.Wakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.
Kijana mdogo kama wewe kuwa na mawazo kama haya ni dalili mbaya sana ya kiakili, kihisia na kimwiliMbowe ametuma vijana wamuue ila lissu ameshtukia mchezo π
Ccm yamejaa upumbavu yanafikiri chadema ni wapumbavu kama wao eti yanatuma mtu kupeleka maji foolishMbowe ametuma vijana wamuue ila lissu ameshtukia mchezo π
Unafikiri atayanywa
Ova
ameyanywa?mbona ameyapokea hayo maji?
Kumbe Kolimba , Mangula, Magufuli, Mwakyembe, na Bashite walionja sumu ya Chadema?Uchaguzi wa ndani unakaribia, hivyo Lisu anaogopa kuthubutu kuonja sumu kwa ulimi πππ
Jinsi Tundu Lissu alivyo na upendoWakuu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara.