LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Uchaguzi wa ndani unakaribia, hivyo Lisu anaogopa kuthubutu kuonja sumu kwa ulimi 😂😂😂
 
Kiprotokali, mtu mkubwa kama huyo HAWEZI kunywa maji toka kwa mtu yeyote kwa sababu za kiusalama. Hilo lipo wazi. Hata hivyo, kijana huyo apongezwe kwa kumuonea huruma Lissu baada ya kumuona kuongea kwa muda mrefu bila kupewa maji na "watu wake"!
 
Back
Top Bottom