Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki, Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.