Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wanachokifanya ni uhuni,chama kinafia mikononi mwa Mbowe,watu wenye mawazo tofauti na Mbowe wataendelea kuhama na chama kudhoofika maana watu wanaaminishwa wenye mawazo tofauti ni wasaliti wa chama.Dawa ni hakuna kuhama, abanane hapohapo. Mpaka tutajua ukweli. Chadema ni Chama cha siasa kweli au kanyaboya? Kitaeleweka tu, tunaenda na Lissu.
#Ila mimi ushabiki tu, sina hata chama 😅😅😅😅😅😅😅
Bora kuanzisha chamaSasa kwa mtindo huu wa mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu tutafika wapi wakati chama kinapoteza credibility kila kukicha
Huwezi kufananisha siasa za Kenya na Tanzania,Kenya chama cha siasa kinaweza kuundwa leo na kuwa tishioMbona Rail Odinga ni Mkt tangu enzi za Moi na Wakenya wanaona ni sawa? Utalingamisha Democrasia ya KEnya na Tanzania? nyie ni Chui w Mabox na mjificha kwenye keybord kujifanya na ma Fighters kumbe bure