Mtamfuata wapi nyie kizazi cha starehe? Muache kushabikia mpira na kunyonya chuchu za wapenzi wenu mumfuate lissu ACT? Abduli na mchengerwa wamewakanyaga watakavyo kwenye chaguzi mmefanya nini? Shwaini!!Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
Jibu hoja!! Kizazi cha laana nyinyi. Mpira na zinaa ndo vitu pekee mnaweza vipigania. Shwaini!Chawa wa Mbowe
Mlimponza Zitto eti ulipo tupo yuko wapi na ATC yake.Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
ACT na ccm ni mtu na mtoto wake.so kuliko kuhamia kwa mtoto bora ahamie kwa mama mtu kabisa .Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
Duh....Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
Hujui Dunia, kitendo cha lissu kuama chama ,au Mbowe kuama chama , graph ya kisiasa inashuka kama upepo,msimdanganye wengi wataanza kukuona tapeli, Mdee yuko wapi, zitto yuko wapi, Dr slaa yupo wapi ,anajitahidi kujikongoja ila wapi, msimdanganye , chadema ni chama ukiwa na nyota ya kisiasa basi chama huifanya nyota yako kungaaa zaidi, .Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
Mbona Rail Odinga ni Mkt tangu enzi za Moi na Wakenya wanaona ni sawa? Utalingamisha Democrasia ya KEnya na Tanzania? nyie ni Chui w Mabox na mjificha kwenye keybord kujifanya na ma Fighters kumbe bureSasa kwa mtindo huu wa mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu tutafika wapi wakati chama kinapoteza credibility kila kukicha
Ameshasrma hana mpango wa kuhama!Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana wazalendo.
Kama Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo zaidi ya nusu ya wanachama wa Chadema tutamfuata maana tunajua ni mpigania haki,Chadema haina maendeleo yoyote chini ya mbowe kwa zaidi ya miaka 20 kimedumaa tu.
DahhJibu hoja!! Kizazi cha laana nyinyi. Mpira na zinaa ndo vitu pekee mnaweza vipigania. Shwaini!
Umeshawahi ona bisi inaruka ruka kwenye kikaangio? Chama sio chako, we unawashwa na nini? Kwani hakuna kazi zingine za kufanya. Kila muda ACT, mara zito, mara sijui Mboye, mara kimeenda mara kikarudi.Sasa kwa mtindo huu wa mbowe kuwa mwenyekiti wa kudumu tutafika wapi wakati chama kinapoteza credibility kila kukicha