Umeshawahi ona bisi inaruka ruka kwenye kikaangio? Chama sio chako, we unawashwa na nini? Kwani hakuna kazi zingine za kufanya. Kila muda ACT, mara zito, mara sijui Mboye, mara kimeenda mara kikarudi.
Lakini wanachokifanya ni uhuni,chama kinafia mikononi mwa Mbowe,watu wenye mawazo tofauti na Mbowe wataendelea kuhama na chama kudhoofika maana watu wanaaminishwa wenye mawazo tofauti ni wasaliti wa chama.
Mbona Rail Odinga ni Mkt tangu enzi za Moi na Wakenya wanaona ni sawa? Utalingamisha Democrasia ya KEnya na Tanzania? nyie ni Chui w Mabox na mjificha kwenye keybord kujifanya na ma Fighters kumbe bure
Mkuu kuanzisha chama ni kuanza moja,hata Zitto alihama baada ya kutaka uenyekiti,hata viongozi wengi wa kanda wengi wanaopita ni wale wenye ukaribu na mwenyekiti