Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

Kama vile nchi inaongozwa na wasioitakaa yaan ,na hawajali Wala nn
Wale wenye nguvu ya kufanya mageuzi hawako tayari.

Lakini wanavyohubiri uzalendo sasa utadhani ni Malaika.
 
Pamoja na mengine yote, sikubaliani na huo ukongwe anaopewa Kikeke kama yuko biased kiasi hiki!

Ni wazi hataki chama chake au serikali yake isemwe kwa namna yoyote....

Ovyo kabisa
 
Kumbuka Crown ni kotuo kipya na hapo anamhoji TL apate views tu nothing else.
 
Pamoja na mengine yote, sikubaliani na huo ukongwe anaopewa Kikeke kama yuko biased kiasi hiki!

Ni wazi hataki chama chake au serikali yake isemwe kwa namna yoyote....

Ovyo kabisa
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ