figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mashahidi wa Tundu Lissu wakipigwa msasa.
Mungu mbariki TAL❤💪🏿
Tundu Lissu yuko kwenye 'level' tofauti kabisa na hawa wengine wote katika rika lake.Kiukweli huyu jamaa ni wa aina yake mkuu! One of a kind individual....
Ni zaidi ya hivyo.Mwamba anajiamini sana. Kama hayuko jela vile. Very smart upstairs.