Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
CCM wakisikia jina la Kamanda Lissu matumbo ya kuhara yanawashika kwa woga.
Ni wakati sasa wakulimaliza hili JOKA dhalimu.
Ni wakati sasa wakulimaliza hili JOKA dhalimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ivo zirungu zitakazotembea uko hahahahah msije mkasema sikuwaambia
Naomba unisaidie jambo Mkuu. Mtu aliyekua na kesi mahakamani kisha akapewa dhamana, alafu akavunja masharti ya dhamana hiyo scenario ni matumizi mabaya ya madaraka au nitakwa la kisheria?Hivi unadhani unaongea na kibuyu asiyejua utawala wa sheria? Utawala wa sheria naujua, na matumizi mabaya ya madaraka nayajua vile vile. Ww naona umegeuza kiburi cha madaraka kuwa ndio utawala wa sheria. Katafute wasujudu watu wenzako ndio uwaambie huu ujinga.
You think far, man!Kitendo cha Tundu Lissu kusema atakuja kugombea urais kimewavuruga sana CCM hasa jiwe, nina hakika akija tena kugombea urais itakuwa ni kama Lionel Messi kuingia uwanjani dakika 15 za mwisho, huku CCM ikiwa inaongoza bao moja kwa ulinzi wa vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Inabidi mtu mwingine awekwe kama backup iwapo Lissu atafungwa, maana hiyo ndio njia pekee ya jiwe iliyobakia. Nashauri Zitto Kabwe maana ana uwezo mzuri wa kujenga hoja, na zikaeleweka kwa wananchi.
Naomba unisaidie jambo Mkuu. Mtu aliyekua na kesi mahakamani kisha akapewa dhamana, alafu akavunja masharti ya dhamana hiyo scenario ni matumizi mabaya ya madaraka au nitakwa la kisheria?
Mkuu kuna mambo hunifikirisha sanaKila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a usiseme kabisa, kulinda uovu fulani, ubabe, kutozuia au hata kukemea tu mauaji yanayofanywa na wasiojulikana, kutotia neno TL alipopigwa risasi, kufunga gerezani wapinzani, kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, n.k). Kwa hakika ameharibu sana sana hapo.
Sasa jana Mnyika kanikosha, tena kanikosha sana. Iwapo Tundu Lisu atatia nia mara moja atabadilisha upepo wa kisiasa nchini ingawa najua fika atakapofika tu watamkamata. Wakimkamata hapo sasa ndiyo mzimu George Floyd utaanza Tanzania. Ni MCCM lkn sitaogopa kitu, nitaomba Mungu TL awe ndani mpaka siku ya kura. Tutampigia Kampeni akiwa ndani. Hatutaogopa Mapolisi - hatutaogopa virungu vyao na wala risasi zao.
Moja ya slogan ya Kampeni itakuwa ni kumwachia Rais wetu awe huru. Najua uongozi wa sasa hautakuwa tayari kumwachia Lisu kwa namana yeyote ile na hapo itakuwa ni kama Mungu katusikia maombi yetu kwa sababu hilo watakalofanya ndilo litakalowapotezea kura.
Serikali hii sio tu kuwa ni ya kibabe lakini pia haina hata upendo na watu wake kwa sababu sikio lao linataka nyimbo tamu tu na hawataki kukosolewa. Juzi nimeacha kubeaba kadi yangu ya CCM lkn sasa kama Tundu Lisu akija na akawekewa vikwazo ndipo nitaichoma kabisa kadi hiyo.
Agosti sio mbali - imebaki miezi miwili tu. CHADEMA nawaomba pls pls watia nia waruhusiwe wajiseme hadharani na mfuate utaratibu kama mlivyoweka. Jitahidi msitoe Mgombea nje ya Chama this time. Tunamtaka Tundu Lissu. Hata huku huku CCM baadhi tunanyanyasika. Tena tunanyanyasika sana. Tumewachoka hawa wagawana Tausi wa Ikulu.
Tunataka mabadiliko ili wananchi na wafanyakazi wa kawaida mafurahie uhuru wa nchi yao. Midege na mitreni ya mwendo kasi sio ugali. Mi fly ova ya Ubungo sio pembejeo za kilimo za Idukilo. Mivyeo inayotolewa kwa wanajeshi sio nyongeza ya mishahara kwa wafanyazi wengine.
Tunamtaka Tundu Lissu nchi hii ibadilike. Tumechoka kunyimwa hewa ya kukosa demokrasia. We can't breath!
Unajua jambo likishafikishwa katika mkuno wa Sheria swala la siasa chafu halionekani sana bali upangaji na upanguaji wa hoja za pande zote mbili ukiambatanishwa na ushahidi usio na shaka.Ili unisaidie vizuri, msingi wa hiyo kesi ni nini kama sio siasa chafu? Isitoshe mahakama zenyewe ni zipi. Ni mahakama hizi hizi zinazoonekana kutumikia siasa chafu?
Mfundishe!Hivi unadhani unaongea na kibuyu asiyejua utawala wa sheria? Utawala wa sheria naujua, na matumizi mabaya ya madaraka nayajua vile vile. Ww naona umegeuza kiburi cha madaraka kuwa ndio utawala wa sheria. Katafute wasujudu watu wenzako ndio uwaambie huu ujinga.
Unajua jambo likishafikishwa katika mkuno wa Sheria swala la siasa chafu halionekani sana bali upangaji na upanguaji wa hoja za pande zote mbili ukiambatanishwa na ushahidi usio na shaka.
Hizi mahakama zikiamua kwamba upinzani una haki mahakama inakua imetenda haki ila mahakama ikiamua vinginevyo inakua imelazimishwa na CCM?
Zitto Kabwe kahukumiwa kifungo chanje kwa kesi yake ya uchochezi mambo burudani.
Viongozi Wakuu wa Chadema walipo hukumiwa kifungo jela miezi mitano au faini ya milioni 320 mahakama ilikua upande wa CCM ?
Imefikia hatua sasa mnaamua kufanya siasa rahisi kama zile za Erick Kabendera, Idris Sultan.
Kumzushia kifo Rais wa nchi na siasa nyingi dhaifu na chafu.
Mbuzi jike ni nani?Wakala wa mabeberu, mzee wa MIGA
Kila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a usiseme kabisa, kulinda uovu fulani, ubabe, kutozuia au hata kukemea tu mauaji yanayofanywa na wasiojulikana, kutotia neno TL alipopigwa risasi, kufunga gerezani wapinzani, kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, n.k). Kwa hakika ameharibu sana sana hapo.
Sasa jana Mnyika kanikosha, tena kanikosha sana. Iwapo Tundu Lisu atatia nia mara moja atabadilisha upepo wa kisiasa nchini ingawa najua fika atakapofika tu watamkamata. Wakimkamata hapo sasa ndiyo mzimu George Floyd utaanza Tanzania. Ni MCCM lkn sitaogopa kitu, nitaomba Mungu TL awe ndani mpaka siku ya kura. Tutampigia Kampeni akiwa ndani. Hatutaogopa Mapolisi - hatutaogopa virungu vyao na wala risasi zao.
Moja ya slogan ya Kampeni itakuwa ni kumwachia Rais wetu awe huru. Najua uongozi wa sasa hautakuwa tayari kumwachia Lisu kwa namana yeyote ile na hapo itakuwa ni kama Mungu katusikia maombi yetu kwa sababu hilo watakalofanya ndilo litakalowapotezea kura.
Serikali hii sio tu kuwa ni ya kibabe lakini pia haina hata upendo na watu wake kwa sababu sikio lao linataka nyimbo tamu tu na hawataki kukosolewa. Juzi nimeacha kubeaba kadi yangu ya CCM lkn sasa kama Tundu Lisu akija na akawekewa vikwazo ndipo nitaichoma kabisa kadi hiyo.
Agosti sio mbali - imebaki miezi miwili tu. CHADEMA nawaomba pls pls watia nia waruhusiwe wajiseme hadharani na mfuate utaratibu kama mlivyoweka. Jitahidi msitoe Mgombea nje ya Chama this time. Tunamtaka Tundu Lissu. Hata huku huku CCM baadhi tunanyanyasika. Tena tunanyanyasika sana. Tumewachoka hawa wagawana Tausi wa Ikulu.
Tunataka mabadiliko ili wananchi na wafanyakazi wa kawaida mafurahie uhuru wa nchi yao. Midege na mitreni ya mwendo kasi sio ugali. Mi fly ova ya Ubungo sio pembejeo za kilimo za Idukilo. Mivyeo inayotolewa kwa wanajeshi sio nyongeza ya mishahara kwa wafanyazi wengine.
Tunamtaka Tundu Lissu nchi hii ibadilike. Tumechoka kunyimwa hewa ya kukosa demokrasia. We can't breath!
Upuuzi huu,nchi izizime kwa sababu ya msaliti na mropokaji lissu?
Sent using Jamii Forums mobile app