Msee Paka
Member
- Aug 21, 2016
- 41
- 38
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili nalo senge kweli.Acha kumfananisha George Floyd na huyo mlamba miguu ya mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hili nalo senge kweli.Acha kumfananisha George Floyd na huyo mlamba miguu ya mabeberu
izo demokrasia kama za wenzetu uko kuzifikia sio rahisiAcha virungu, wakatoe kabisa yale mabomu yanayokaribia kuisha muda ili wasiingie hasara.
Mkuu umeongea mengi sana.. mm acha nichangia moja ili kuwaachia na wengine...Kila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a usiseme kabisa, kulinda uovu fulani, ubabe, kutozuia au hata kukemea tu mauaji yanayofanywa na wasiojulikana, kutotia neno TL alipopigwa risasi, kufunga gerezani wapinzani, kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, n.k). Kwa hakika ameharibu sana sana hapo.
Sasa jana Mnyika kanikosha, tena kanikosha sana. Iwapo Tundu Lisu atatia nia mara moja atabadilisha upepo wa kisiasa nchini ingawa najua fika atakapofika tu watamkamata. Wakimkamata hapo sasa ndiyo mzimu George Floyd utaanza Tanzania. Ni MCCM lkn sitaogopa kitu, nitaomba Mungu TL awe ndani mpaka siku ya kura. Tutampigia Kampeni akiwa ndani. Hatutaogopa Mapolisi - hatutaogopa virungu vyao na wala risasi zao.
Moja ya slogan ya Kampeni itakuwa ni kumwachia Rais wetu awe huru. Najua uongozi wa sasa hautakuwa tayari kumwachia Lisu kwa namana yeyote ile na hapo itakuwa ni kama Mungu katusikia maombi yetu kwa sababu hilo watakalofanya ndilo litakalowapotezea kura.
Serikali hii sio tu kuwa ni ya kibabe lakini pia haina hata upendo na watu wake kwa sababu sikio lao linataka nyimbo tamu tu na hawataki kukosolewa. Juzi nimeacha kubeaba kadi yangu ya CCM lkn sasa kama Tundu Lisu akija na akawekewa vikwazo ndipo nitaichoma kabisa kadi hiyo.
Agosti sio mbali - imebaki miezi miwili tu. CHADEMA nawaomba pls pls watia nia waruhusiwe wajiseme hadharani na mfuate utaratibu kama mlivyoweka. Jitahidi msitoe Mgombea nje ya Chama this time. Tunamtaka Tundu Lissu. Hata huku huku CCM baadhi tunanyanyasika. Tena tunanyanyasika sana. Tumewachoka hawa wagawana Tausi wa Ikulu.
Tunataka mabadiliko ili wananchi na wafanyakazi wa kawaida mafurahie uhuru wa nchi yao. Midege na mitreni ya mwendo kasi sio ugali. Mi fly ova ya Ubungo sio pembejeo za kilimo za Idukilo. Mivyeo inayotolewa kwa wanajeshi sio nyongeza ya mishahara kwa wafanyazi wengine.
Tunamtaka Tundu Lissu nchi hii ibadilike. Tumechoka kunyimwa hewa ya kukosa demokrasia. We can't breath!
Yule bwana apendi kusikia maneno hayoKila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a usiseme kabisa, kulinda uovu fulani, ubabe, kutozuia au hata kukemea tu mauaji yanayofanywa na wasiojulikana, kutotia neno TL alipopigwa risasi, kufunga gerezani wapinzani, kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, n.k). Kwa hakika ameharibu sana sana hapo.
Sasa jana Mnyika kanikosha, tena kanikosha sana. Iwapo Tundu Lisu atatia nia mara moja atabadilisha upepo wa kisiasa nchini ingawa najua fika atakapofika tu watamkamata. Wakimkamata hapo sasa ndiyo mzimu George Floyd utaanza Tanzania. Ni MCCM lkn sitaogopa kitu, nitaomba Mungu TL awe ndani mpaka siku ya kura. Tutampigia Kampeni akiwa ndani. Hatutaogopa Mapolisi - hatutaogopa virungu vyao na wala risasi zao.
Moja ya slogan ya Kampeni itakuwa ni kumwachia Rais wetu awe huru. Najua uongozi wa sasa hautakuwa tayari kumwachia Lisu kwa namana yeyote ile na hapo itakuwa ni kama Mungu katusikia maombi yetu kwa sababu hilo watakalofanya ndilo litakalowapotezea kura.
Serikali hii sio tu kuwa ni ya kibabe lakini pia haina hata upendo na watu wake kwa sababu sikio lao linataka nyimbo tamu tu na hawataki kukosolewa. Juzi nimeacha kubeaba kadi yangu ya CCM lkn sasa kama Tundu Lisu akija na akawekewa vikwazo ndipo nitaichoma kabisa kadi hiyo.
Agosti sio mbali - imebaki miezi miwili tu. CHADEMA nawaomba pls pls watia nia waruhusiwe wajiseme hadharani na mfuate utaratibu kama mlivyoweka. Jitahidi msitoe Mgombea nje ya Chama this time. Tunamtaka Tundu Lissu. Hata huku huku CCM baadhi tunanyanyasika. Tena tunanyanyasika sana. Tumewachoka hawa wagawana Tausi wa Ikulu.
Tunataka mabadiliko ili wananchi na wafanyakazi wa kawaida mafurahie uhuru wa nchi yao. Midege na mitreni ya mwendo kasi sio ugali. Mi fly ova ya Ubungo sio pembejeo za kilimo za Idukilo. Mivyeo inayotolewa kwa wanajeshi sio nyongeza ya mishahara kwa wafanyazi wengine.
Tunamtaka Tundu Lissu nchi hii ibadilike. Tumechoka kunyimwa hewa ya kukosa demokrasia. We can't breath!
Nadhani Mimi nawe tumeshamalizana hapa Mkuu tukutane katika mada nyingine labda sio kwenye hili tena broda CHAOToka lini kipimo chetu cha ubora wa katiba yetu ukawa ni katiba za nchi za Afrika mashariki na kati? Hata hivyo katiba ya Kenya ni far better kuliko hii ya kwetu. All in all katiba za nchi nyingi za Afrika ni katiba za kulinda uovu wa viongozi walioko madarakani.
Na wewe kile cheo chako cha wakala wa kule mombassa ulishastaafu au bado unaburudishaWakala wa mabeberu, mzee wa MIGA
Hebu waulize wanacho ogopa ni kitu gani? Mbona wewe pamoja na yote ulotendewa kule mombassa bado hujaachakwenda na hata sasa upo huko ndo maana umeandika huu utopolo?Akifika JNIA pale kuna wazuvendi watakua wanamsubiri wamsindikize Central akaweke mabegi na zawadi za watoto kwanza.
Kisha Huruma Shahidi atamhitaji wanywe naye supu kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakati huo nyie wakereketwa mkiogelea kwenye maji ya kamanda Mambosasa huku mtaani na virungu vya kamanda Boaz vikiwatuliza wakati huo difenda zikiwapa lifti za kuwasindikiza aidha mahospitalini au kwenye vituo vya polisi.
Kila siku najisema wazi mimi ni MwanaCCM na sidanganyi lakini. Pia nakubali JPM anafanya vizuri ndiyoooooo (lakini ni kwenye jambo moja tu may be macro economics) lakini kuna mambo ameharibu sana (kuminya demokrasia, nepotism, rushwa kwa wapendwa wake imekithiri, wafanyakazi ndiyo nyang'anyng'a usiseme kabisa, kulinda uovu fulani, ubabe, kutozuia au hata kukemea tu mauaji yanayofanywa na wasiojulikana, kutotia neno TL alipopigwa risasi, kufunga gerezani wapinzani, kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa, n.k). Kwa hakika ameharibu sana sana hapo.
Sasa jana Mnyika kanikosha, tena kanikosha sana. Iwapo Tundu Lisu atatia nia mara moja atabadilisha upepo wa kisiasa nchini ingawa najua fika atakapofika tu watamkamata. Wakimkamata hapo sasa ndiyo mzimu George Floyd utaanza Tanzania. Ni MCCM lkn sitaogopa kitu, nitaomba Mungu TL awe ndani mpaka siku ya kura. Tutampigia Kampeni akiwa ndani. Hatutaogopa Mapolisi - hatutaogopa virungu vyao na wala risasi zao.
Moja ya slogan ya Kampeni itakuwa ni kumwachia Rais wetu awe huru. Najua uongozi wa sasa hautakuwa tayari kumwachia Lisu kwa namana yeyote ile na hapo itakuwa ni kama Mungu katusikia maombi yetu kwa sababu hilo watakalofanya ndilo litakalowapotezea kura.
Serikali hii sio tu kuwa ni ya kibabe lakini pia haina hata upendo na watu wake kwa sababu sikio lao linataka nyimbo tamu tu na hawataki kukosolewa. Juzi nimeacha kubeaba kadi yangu ya CCM lkn sasa kama Tundu Lisu akija na akawekewa vikwazo ndipo nitaichoma kabisa kadi hiyo.
Agosti sio mbali - imebaki miezi miwili tu. CHADEMA nawaomba pls pls watia nia waruhusiwe wajiseme hadharani na mfuate utaratibu kama mlivyoweka. Jitahidi msitoe Mgombea nje ya Chama this time. Tunamtaka Tundu Lissu. Hata huku huku CCM baadhi tunanyanyasika. Tena tunanyanyasika sana. Tumewachoka hawa wagawana Tausi wa Ikulu.
Tunataka mabadiliko ili wananchi na wafanyakazi wa kawaida mafurahie uhuru wa nchi yao. Midege na mitreni ya mwendo kasi sio ugali. Mi fly ova ya Ubungo sio pembejeo za kilimo za Idukilo. Mivyeo inayotolewa kwa wanajeshi sio nyongeza ya mishahara kwa wafanyazi wengine.
Tunamtaka Tundu Lissu nchi hii ibadilike. Tumechoka kunyimwa hewa ya kukosa demokrasia. We can't breath!
Wakala wa mabeberu, mzee wa MIGA
Tila-lila2,
Akifika JNIA pale kuna wazuvendi watakua wanamsubiri wamsindikize Central akaweke mabegi na zawadi za watoto kwanza.
Kisha Huruma Shahidi atamhitaji wanywe naye supu kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakati huo nyie wakereketwa mkiogelea kwenye maji ya kamanda Mambosasa huku mtaani na virungu vya kamanda Boaz vikiwatuliza wakati huo difenda zikiwapa lifti za kuwasindikiza aidha mahospitalini au kwenye vituo vya polisi.
Lissu karibu nyumbani.
Kuna watu wamejitangazia ufalme tayari, Madam Ummy Tanga, Madam naibu wa spiika Mbeya nadhani kapagwa amrithi Nduggae.
Kitendo cha Tundu Lissu kusema atakuja kugombea urais kimewavuruga sana CCM hasa jiwe, nina hakika akija tena kugombea urais itakuwa ni kama Lionel Messi kuingia uwanjani dakika 15 za mwisho, huku CCM ikiwa inaongoza bao moja kwa ulinzi wa vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Inabidi mtu mwingine awekwe kama backup iwapo Lissu atafungwa, maana hiyo ndio njia pekee ya jiwe iliyobakia. Nashauri Zitto Kabwe maana ana uwezo mzuri wa kujenga hoja, na zikaeleweka kwa wananchi.
Mwana kulitafuta mwana kulipataHuo ndiyo ukomo wa akili zako, yaani mtu mzima unafurahia mateso ya mwenzako kisa itikadi za kisiasa?
Serikali ya jiwe ndo wakala mkuu wa beberu, tatizo lenu nyie nyumbu wa Lumumba mna kasumba huyohuyo beberu akitoa msaada anaitwaa mhisani wa maendeleo, akisisitiza mtii utawala wa sheria jina linabadilika na kuwa beberu
Thubutuu
Hivyo vitisho ndio tunavyovitaka maana ndio vitaamsha hamasa ya kutosha, nchi na dunia nzima itafuatilia vizuri uchaguzi huo. Yaani hapo ndio ngoma itanoga vizuri.
Acha kumfananisha George Floyd na huyo mlamba miguu ya mabeberu