Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

Naomba unisaidie jambo Mkuu. Mtu aliyekua na kesi mahakamani kisha akapewa dhamana, alafu akavunja masharti ya dhamana hiyo scenario ni matumizi mabaya ya madaraka au nitakwa la kisheria?
 
You think far, man!
 
Naomba unisaidie jambo Mkuu. Mtu aliyekua na kesi mahakamani kisha akapewa dhamana, alafu akavunja masharti ya dhamana hiyo scenario ni matumizi mabaya ya madaraka au nitakwa la kisheria?

Ili unisaidie vizuri, msingi wa hiyo kesi ni nini kama sio siasa chafu? Isitoshe mahakama zenyewe ni zipi. Ni mahakama hizi hizi zinazoonekana kutumikia siasa chafu?
 
nawakumbusha ."mmeambiwa mshifanye ichi nyie mfanya mtapigwa tu" hiz kauli ni MBAYA SANAA natamani zifike mwisho
 
Aje apite Tazara pale inter change na yeye afaidi matunda ya Rais Magufuli.Ananyooka moja kwa moja mpaka sentro akajibu tuhuma zake kwa vyombo vya ulinzi
 
Mkuu kuna mambo hunifikirisha sana
Lissu mpaka hua nakosa jibu kwamba
huyu jamaa ni gifted mfano
1.alishambuliwa na marisasi akapona
2.ni makamu mwenyekiti aliepata ku
chaguliwa akiwa nje na bila kujinadi
akapata kura za kutosha bila kusahau
Ile ya kipindi kile cha kugombea urais
Wa chama cha wanasheria ,pamoja na
Mikiki yote aliopata bado alipa kura
za kutosha
3.katibu jana bahada ya kufungua diri
Sha la watia nia lisu kusema tu kwamba
atatia nia kabla hatujajua nani atapita
Peperusha bendera ya chama hicho
tiyari amebadirisha upepo hum JF
Sasa binafsi kama lissu anaweza pishwa
kugombea urais zitoshangaa jamaa hata
akibaki nje hapa akabaki mgombea
Mwenza na kumuombea kura na bado
akapata kura za kutosha ,lissu ni jifted
na chadema ni msingi imeipa nguvu sana
Chadema usione wako kimya wakianza
Kukiwasha moto utakua sio wa kitoto
CCM makini kwenye kampeni ,msitemee
Vyombo vya dola maana navyo umma
Ukiamua kweli kunakua hakuna namna
 
Wewe ni chadema uliejificha kwenye kivuli cha ccm endelea kujifanya zuzu
 
Ili unisaidie vizuri, msingi wa hiyo kesi ni nini kama sio siasa chafu? Isitoshe mahakama zenyewe ni zipi. Ni mahakama hizi hizi zinazoonekana kutumikia siasa chafu?
Unajua jambo likishafikishwa katika mkuno wa Sheria swala la siasa chafu halionekani sana bali upangaji na upanguaji wa hoja za pande zote mbili ukiambatanishwa na ushahidi usio na shaka.

Hizi mahakama zikiamua kwamba upinzani una haki mahakama inakua imetenda haki ila mahakama ikiamua vinginevyo inakua imelazimishwa na CCM?

Zitto Kabwe kahukumiwa kifungo chanje kwa kesi yake ya uchochezi mambo burudani.

Viongozi Wakuu wa Chadema walipo hukumiwa kifungo jela miezi mitano au faini ya milioni 320 mahakama ilikua upande wa CCM ?

Imefikia hatua sasa mnaamua kufanya siasa rahisi kama zile za Erick Kabendera, Idris Sultan.

Kumzushia kifo Rais wa nchi na siasa nyingi dhaifu na chafu.
 
Mfundishe!
 

Ninapokuambia kuwa mahakama zimeamua au zinalazimishwa kucheza siasa chafu sibahatishi kwenye hilo. Sidhani kama suala la kujua kuwa mahakama inatumikia siasa chafu lina mjadala. Unapoona serikali inapeleka mswaada wa kuzuia rais, spika na jaji mkuu kutokushitakiwa, ndio hayo ninayokuambia ya kucheza siasa chafu mahakamani.
 

Nimekukubali wewe Ni George Floyd wa Tanzania! You can't breath, I can't breath, We can't breath.
Now is our time to Breath. Lazima watu wapumue. Ili KUPUMUA lazima huu mfumo wa Goti la Policcm wa Tanzania na Rais wao Magufuli liondolewe kwenye shingo za Watanzania at any cost.
Tundu Antipas LISSU anao ubavu huo. Na ole wao wathubutu kutaka kummaliza hakika Tanzania itageuka Merekani ya Donald Trump!
TAL-2020 for President.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…