Tundu Lissu akirudi nchini itakuwa kama George Floyd, Tanzania itazizima

Mdanganyeni kama mlivyomdanganya kimambi mpaka leo kimambi kaamua kuwasusa maana ni wazee wa keyboard....
Kuzizima labda kwenye social media..
 
Umetisha Mkuu... Una uwezo wa kubadilisha na kushawishi mamia ya watu in 5 minutes..

MaCCM wanahaha!!
 
Lisu akitua Tanzania kwa Nia hiyo itakuwa ni moja ya matukio makubwa duniani.Ccm wakimdhuru kwanamna yoyote hawataamini kitakachowatokea.
 
Aje apite Tazara pale inter change na yeye afaidi matunda ya Rais Magufuli.Ananyooka moja kwa moja mpaka sentro akajibu tuhuma zake kwa vyombo vya ulinzi
Vijana walioko kwenye majeshi wengi mno wanamkubali lisu mkimesiup mtayagawa majeshi.
 
Sijawahi kumuamini Mtanzania hata siku moja. Mtanzanlia nimpiga kelele akiwa nyuma ya keyboard, anaweza kukujaza upepo ukajihisi tayari ushashinda uraisi, anaweza kukujaza upepo ukahisi tayari kitanuka maandamano ambayo hayajapata kutokea toka Mkoloni aondoke, anaweza kukujaza upepo ukahisi nchi haitotawalika. Sasa ngoja aone FFU wanafanya jogging, utajikuta uko peke yako.
Kwa hali ilivyo sitoshangaa hata wakichukua viongoozi wote wa upinzani akiwemo Lissu wakawekwa ndani, watu wakaendelea na mambo yao ila tu wakawa wanafungua thread jf bila hata mmoja kuanamana.
Sema mimi watanzania nawaelewa...
 
Vijana walioko kwenye majeshi wengi mno wanamkubali lisu mkimesiup mtayagawa majeshi.
Majeshi yepi hayo?
Magereza juzi tu hapa wamewafinya mashavu.
Kama polisi ndo hawataki kusikia upuuzi.
JW ndo kabisaa.
 
Wala hawatakiwi watu wengi kwenda kumpokea. Kinachotakiwa ni maneno yake ya kuondosha ukandamizaji wa demokrasia wakati wa Kampeni zake
Na hizo ndiyo dua za watanzania
 
Mdanganyeni kama mlivyomdanganya kimambi mpaka leo kimambi kaamua kuwasusa maana ni wazee wa keyboard....
Kuzizima labda kwenye social media..
Huyo ni lumumba mwenzako ambaye ameamua kujitambua siyo kama wewe ndumilakuwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…