Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

Magufuli aliingia kama mwenyekiti CCM akikikuta chama chenye ushawishi kwa kutumia hoja.

Miaka 5 baadaye kimekuwa chama kinachoshawishi kwa mtutu wa bunduki.

Siku washika mtutu wakiamua kugeuza mwelekeo wa mitutu yao (na inavyoelekea siku si nyingi), CCM kwisha habari yake!
 
Tofauti ipo ila tu umeamua kuwa mvivu wa kujisomea
Kweli mkuu, ameshindwa hata kutumia akili kidogo tu,kuwa kama kuna jinga lao wengine waliobaki hawana hata hadhi ya kuitwa wajinga.
 
Mna Hamu tena Vibendera
Mmepokea Pigo moja takatifu
Mnatuletea Mropokaji Awe Rais hizo ndoto ziishie pale kwenye Kibanda Chenu Ufipa
 
Kuja kutoka wapi?alipotwangwa risasi alikuwa chama gani?alipokimbizwa hospitari ubeligiji alikuwa chama gani?

Badala ya kupoteza muda na Chadema,ni Bora mjipange kuleta "maendeleo",mliyoahidi,maana sasa hv,bungeni kila kitu kitapita,
Kila siku ccm inapobski magogoni?,ni maumivu kwa nchi sasa

Kumbukeni,mlisema majimbo ya upinzani,hayapsti maendeleo,kwa sababu ya kuwa na wabunge msdiwani wa upinzani,sasa hv,kote huko ni rangi ya kijani,tunasubiri ajira kibao,viwanda,Miundombinu,mikopo kwa vijana na wanawake,
 
Hahahaa Kwa mtazamo wangu naona kama Mboe hana hamu kabisa na Tundu lisu sema anajikazatu kiungwana.
Yani Lisu angekuwa mwenyekiti chadema ingesha kufa na kusahaulika, hekima na busara za Mbowe ndio msingi wa chadema.
 
Hahahaa Kwa mtazamo wangu naona kama Mboe hana hamu kabisa na Tundu lisu sema anajikazatu kiungwana.
Yani Lisu angekuwa mwenyekiti chadema ingesha kufa na kusahaulika, hekima na busara za Mbowe ndio msingi wa chadema.
Heri yao wapatanishi.Uchonganishi hautakusaidia wewe wala yeyote zaidi sana ni dhambi mbaya Sana.
Jikite kujenga Umoja badala ya utengano na Upendo badala ya chuki.
 
Lisu ana mikelele mingi ila ushawishi kwa umma Hana, tofauti na wagombea wenzie wa Chadema waliomtangulia akina Slaa ,Lowasa
Atapataje ushawishi wa watanzania wakati yeye Lissu sio raia?? Alikua anazunguka na tiketi ya ndege
 
-Bima ya afya kwa kila mtanzania
-Ajira za kumwaga maana tulikuwa tunajenga uchumi kwanza!
-Kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja

Tunasubiri kusikia haya kwenye hotuba ya leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…