Uchaguzi 2020 Tundu Lissu alikuja CHADEMA ikiwa na wabunge zaidi ya 50, anaondoka, ikiwa na Mbunge 1

MKUU 2025 WATAKUJA NA THREAD INAYOSEMA, LISSU WA 2020 SIO HUYU WA 2025.
 
Wewe mleta mada kama unaamini Zanzibar Mwinyi kapata 76% huku Maalim akiambulia less than 20% ya kura basi ukapimwe akili!
Wewe hujui lolote bali ni mchekeshaji wa siasa!

Soma hapa;
 
Waliwai kusema mara nyingi sana yakwamba"Lissu sio kama Lowasa wakimuibia awezikukubali"wamenasahau hata Lowasa pia akukubali.
kwa madaiyao yasasa Lissu kaibiwa kura,lakini ghafla kamanda Lissu kakimbia,kawaacha makamanda kwenye mitandao wanamwaga matusi kama mvua.
 
Nasubiri uzi mwingine wa kuhusu chadema
 
MKUU 2025 WATAKUJA NA THREAD INAYOSEMA, LISSU WA 2020 SIO HUYU WA 2025.
Yaani hawa makamanda ''maandazi'' wanafurahisha sana!

Yaani wanamsifia mwanasiasa ambaye alikuta chama kina wabunge zaidi ya 50 na kukiacha kina mbunge 1!
 


Atarudi 2025 akiwaaminisha tena kuna usalama

Akishindwa atarudi ulaya
 
Wachukue au wasichukue sawa tu,ila wananchi wa Tz tunadharauliwa sana!Mnayaheshimu mabeberu kuliko watanzania?Sauti yetu kupitia sanduku la kura haipo tena,shwain kabisa!
Sauti ipi hiyo unayosema wakati kuna watanzania wako bungeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…