Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 734
- 2,272
Soma hiyoBunge limekiri wapi?
Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?
Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Nenda kasikilize video yake mkuuSoma hiyo
Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi
Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara. Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.www.jamiiforums.com
Laana yako unataka irithiwe nchi nzima ?Bunge limekiri wapi?
Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?
Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Ila laana yako?Laana yako unatqka irithiwe nchi nzima ?
Tumlaumu nani ?Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Tutolee ujinga wako hapa.Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali
Waache wapuuzi waendelee kujifariji. Sasa hivi nchi inapokea mapato mengi ya madini kuliko wakati mwingine wowote. Ni matunda ya yale majadiliano. Lissu alisema makanikia yasiporuhusiwa tutanyolewa kwa chupa bila maji. Leo hii wapuuzi wanamchukulia serious mpuuzi mwenzao huyo.Bunge limekiri wapi?
Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?
Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Kulwa jilala na USSR waje huku waione hiiHayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali
Hakuna bunge Tz kuna genge la wezi wa mali za ummaMoja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Mpuuzi wewe! Unafikiri kwa kutumia tumbo wewe?Bunge limekiri wapi?
Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?
Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
[emoji116]Sasa mbona Prof Kabudi ndio negotiator mkuu wa Serikali Kwenye mikataba hadi leo?!!
Naunga hoja🤔Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali
Umeandika kishabiki sana.Bunge limekiri wapi?
Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?
Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Hao ni Wabunge au Mifugo?Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Na wewe mke.wa dikteta uchwara familia imekusahau kwenye mirathiTutolee ujinga wako hapa.
Huyo mke wa Amsterdam Lisu alishindwa na kulegea