thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 849
- 1,135
😂😂😂Daaah sema jaman haya maneno muwe mnayapunguza yanauma sanaNa wewe mke.wa dikteta uchwara familia imekusahau kwenye mirathi

Mhu! Nakumbuka badala ya kupima hoja yake, watu walikimbilia kumshambulia, akiwemo na mwanaharakati huru (sijui kama bado anajiita hivyo) au la.Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali
"Kuvunja mikataba ya kihuni"? Kama ilikuwa ya kihuni, nani alikuwa mhuni hapo, Tundu Lissu?Kwa faida yako ya huko mbeleni tafuta maana ya neno Hubris...... ni bora mtu anayejua ni mjinga na anaelewa kwamba hawezi kufahamu kila kitu sababu ana upenyo wa kusikiliza na hivyo kujifunza zaidi...
Kwahio wewe kichwani mwako unaona kabisa kuvunja mikataba ya kihuni, KIHUNI ni Tatizo kubwa kuliko kuingia Mikataba hiyo ya KIHUNI in the first place..., Kipi kinaanza ?, Kama mikataba sio ya KIHUNi kutakuwa hakuna sababu ya kuivunja in the First place..., Kwahio kwa ushauri wekeza nguvu kwenye kupinga hii mikata inayofungwa sasa hivi sababu ndio inaliangamiza Taifa na vizazi to infinity
wacha azidi kuwaingiza chakaSasa mbona Prof Kabudi ndio negotiator mkuu wa Serikali Kwenye mikataba hadi leo?!!
Well Noted Mkuu.....Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
Moja ya vichekesho anayeongea alikuwa waziri kamili wakati Tundu lisu anaonya kuwa serikali itatumia kodi za wananchi kulipa gharama za kuvunja mikataba ya madini
Wabunge wale wale waliokuwa wanaimba mapambio kuwa Tundu lissu muongo leo wamegeuka wanakubaliana naye baada ya mambo kuharibika na serikali kutakiwa kulipa mabilioni ya pesa kwa makosa ya kuvunja mikataba ya madini
Katika nchi zinazojielewa huyu Prof Mkumbo na kundi lake la wabunge ilipaswa waachie ngazi na wale washauri wakuu Prof kabudi na kundi lake la kamati walipaswa kuchunguzwa na kupimwa akili tayari kwa kupelekwa mahakamani
Watu wanakamuliwa PAYE,VAT,witholding tax,Corporate tax plus tozo halafu zinaishia kuwalipa makampuni ya madini kwa makosa ya wabunge wasiofika 400 ndani ya taifa lenye watu milioni 60
Tunaomba muandae list of shame ya wale wote waliokuwa kwenye kamati zilizoidanganya serikali
Kitu kimoja kuhusu Tanzania, kila kitu huwa kinaenda tofauti tofauti tu, yaani tupo tupo tu kivyetu vyetu, panakucha na maisha yanaendelea tuSasa mbona Prof Kabudi ndio negotiator mkuu wa Serikali Kwenye mikataba hadi leo?!!
... Prof. Mkumbo huyo huyo leo ni miongoni mwa watetezi wakuu wa mkataba wa DP World! Are we serious?Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
NATAMANI YULE RAIS ANAYEJUA KILA KITU DUNIANI ANGEKUWEPO WAKATU HUU ILI AKUMBUSHWE JINSI TUNDU LISSU ALIMVYOMUONYA KUHUSU MAKAMPUNI HAYA YA MADINI KUWA YATATUSHTAKIHayawi hayawi sasa yamekuwa,Tundu lissu aliwaonya serikali kuhusu mikataba ya MIGA lakini wabunge wa ccm pamoja na serikali walimuona Tundu lissu sio mzalendo