Tundu Lissu alionya kuhusu Madini, Bunge lakiri Serikali inadaiwa na Makampuni ya madini

Bunge limekiri wapi?

Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?

Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
utakuwa na shida kama humwelewi lissu.lissu ni genius na anaijua sheria vzr tatizo watz hatuambiliki.mtu akisema ukweli kwa sababu tu yuko upinzani anabezwa.unashangaa bunge kukiri na pia hujui hata ndege yetu imekamatwa haya yote huyajui sababu tu ya ushabiki wa kisiasa,hiyo ni hatari sana.
 
Wale waliotoa ushauri huo si wapo, washughulikiwe au walipe kwa mali zao tukishindwa kesi na kudaiwa kulipa fidia.
 
Wale waliotoa ushauri huo si wapo, washughulikiwe au walipe kwa mali zao tukishindwa kesi na kudaiwa kulipa fidia.
 
Halafu tukishindwa kesi wafilisiwe kulipa gharama hizo ili liwe fundisho kwa wataalamu kusimamia utaalamu wao na siyo kuyumbishwa.
 
Ndio hivyo Sasa mmetuingiza hasara ya kulipa mabilioni kwa leseni 3 mlizofuta 2018. Mnadhani mnamkomoa Lissu kumbe mnamkomoa wananchi maskini anayekamuliwa Kodi kutoka pande zote.
 
Kwahio Tatizo ni wale waliotuingiza katika Mikataba Mibovu hapo Mwanzo AU
Aliokataa kuwalipa hao wenye mikataba ya Unyonyaji
Mambo hayaamuliwi kibabe, kama mmebadili sheria lazima mpate consent ya mwekezaji maana hata kama mliingia mkataba mbovu that's your problem sio wao na Kuna procedure za kubadili sio kuamka asbuhi tu unafuta leseni watu wakuone mzalendo.
 
Kwani walinda legacy wanasemaje?
 
Bunge limekiri wapi?

Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?

Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Hii nchi ina kipi cha ajabu, mtu kama Jiwe alikuwa Rais so hakuna maajabu ya ziada
 
Unakumbuka kauli ya mimi sishauriki? Au umejizima data kama Sukuma gang
 
Wanasihasa wana Ubatili wa kupindisha mambo kama wa Makenzie wa Shakahoa
 
Bunge limekiri wapi?

Ni kampuni ipi hiyo? Ni Twiga?

Lissu? Yule bora hata nchi ifilisiwe ila siyo kumsikiliza yule!
Nchi hii ina wagonjwa wa akili wengi sana
 
Sasa huu upumbavu hadi lini!? Mali ni yetu wenyewe bado tunadaiwa tena!! Wote walioiingiza nchi kwenye mikataba mibovu washtakiwe na kuhukumiwa Pumbav sana!
 
Dawa ya yote haya ni Katiba Mpya.
 
We kuku tatizo ni waliotuingiza kwenye miktaba ila tatizo kubwa kabisa ni kuvunja mikataba kihuni. Hapa ndo tumeingia gharama kubwa kuliko ya awali. Mfanye mzazi wako asihuzunike ng’ombe alizopoteza kuisomesha hii nyingine
 
We kuku tatizo ni waliotuingiza kwenye miktaba ila tatizo kubwa kabisa ni kuvunja mikataba kihuni. Hapa ndo tumeingia gharama kubwa kuliko ya awali. Mfanye mzazi wako asihuzunike ng’ombe alizopoteza kuisomesha hii nyingine
Kwa faida yako ya huko mbeleni tafuta maana ya neno Hubris...... ni bora mtu anayejua ni mjinga na anaelewa kwamba hawezi kufahamu kila kitu sababu ana upenyo wa kusikiliza na hivyo kujifunza zaidi...

Kwahio wewe kichwani mwako unaona kabisa kuvunja mikataba ya kihuni, KIHUNI ni Tatizo kubwa kuliko kuingia Mikataba hiyo ya KIHUNI in the first place..., Kipi kinaanza ?, Kama mikataba sio ya KIHUNi kutakuwa hakuna sababu ya kuivunja in the First place..., Kwahio kwa ushauri wekeza nguvu kwenye kupinga hii mikata inayofungwa sasa hivi sababu ndio inaliangamiza Taifa na vizazi to infinity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…