Tundu Lissu alionya kuhusu Madini, Bunge lakiri Serikali inadaiwa na Makampuni ya madini

Mhu! Nakumbuka badala ya kupima hoja yake, watu walikimbilia kumshambulia, akiwemo na mwanaharakati huru (sijui kama bado anajiita hivyo) au la.
 
"Kuvunja mikataba ya kihuni"? Kama ilikuwa ya kihuni, nani alikuwa mhuni hapo, Tundu Lissu?
 
Well Noted Mkuu.....
 
Sasa mbona Prof Kabudi ndio negotiator mkuu wa Serikali Kwenye mikataba hadi leo?!!
Kitu kimoja kuhusu Tanzania, kila kitu huwa kinaenda tofauti tofauti tu, yaani tupo tupo tu kivyetu vyetu, panakucha na maisha yanaendelea tu
 
Bunge lile lile na watu ni wale wale kupitia kwa Prof Mkumbo ambaye ni mbunge wa ubungo wameanza kulalamika kuwa serikali inaingia gharama kubwa kuyalipa makampuni ya madini baada ya kuvunja mikataba
... Prof. Mkumbo huyo huyo leo ni miongoni mwa watetezi wakuu wa mkataba wa DP World! Are we serious?
 
NATAMANI YULE RAIS ANAYEJUA KILA KITU DUNIANI ANGEKUWEPO WAKATU HUU ILI AKUMBUSHWE JINSI TUNDU LISSU ALIMVYOMUONYA KUHUSU MAKAMPUNI HAYA YA MADINI KUWA YATATUSHTAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ