MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mbowe sio Mungu.Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Upinzani Ndio wanatoa jina. Baada ya Mbiwe aliyekuwa anafuata ni Tundu Lissu.
Mbowe alikuwa na makazi yake binafsi ya kuishi hivyo akaridhia hiyo nyumba iksluwe na mnadhimu wa chama.
Huu ni utaratibu wa kawaida wala haikuwa favour ya kuiongelea sasa.
Malaria 2 ni Islam anatukuza tajiri 😄Mbowe sio Mungu.
Kwa wewe hata angetaka kukuoa angekuoa bure kabisa. Lissu ni mtu ambaye ana misimamo ambayo it is hard to tame him. Nadhani huyu hatafaa kuwa Mwenyekiti wa CDM. Tumkatae twende na Mwamba kwa sasa anafaa sana. Mi nimekuelewa kwa alichofanya Mbowe kwa Lissu angefanya kwako hata angesema akuoe ungekubali. Nakuelewa.Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Kwahiyo john baada ya kuona wivu waliooona wakaaona dawa asiwepo ili asiendelee kuishi kwenye nyumba yenyewe sio.?Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Elezea unamjua kivip master?In whatever case, Tundu kabebwa sana na Freeman
Tunaomjua Tundu ndio tunamkataa..
Hizi porojo zenu za kwamba msaada hauna maana ni sawa vile vile wala sio mapya.
Ni nature ya watanzania waliokulia kwenye umasikini, ukiwasaidia kuna siku wata ku backstab.
Nakupa privilege and platforms na bado uje unidhihaki.... Dah, Mbowe ni gentleman sana.
Labda mwenye nyumba alitaka akaishi mwenyewe 😂😂Kwahiyo john baada ya kuona wivu waliooona wakaaona dawa asiwepo ili asiendelee kuishi kwenye nyumba yenyewe sio.?
Kifupi Lisu mwanasheria utapeli ulihusika hapo yeye kama wakili alihusika kula njama kutapeli bunge na mali zake ikiwemo hiyo nyumbaNaelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake
Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing
Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Mbona hukumpangisha yako ili ule kodi?Kifupi Lisu mwanasheria utapeli ulihusika hapo yeye kama wakili alihusika kula njama kutapeli bunge na mali zake ikiwemo hiyo nyumba
Nyumba kwenye makaratasi ya mkataba lazima itakuwa ilikuwa inasomeka Mbowe ndie alipewa kwa sababu hayo ni makazi ya kiongozi mkuu wa upinzani bungeni.Mbowe ndie alikuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni
Lisu hiyo nyumba aliipataje?.Sheria zaruhusu hilo?
Lisu aweza kuwa mvamizi hiyo nyumba kama makaratasi hayasomi jina lake na kwa mkutadha huo yawezekana askari walimshambulia na risasi baada ya kuona kavamia nyumba ya kiongozi wa upinzani Mbowe muda ambao wengine walikuwa bungeni ni dhana nawaza Sina uhakika Lisu atusaidie kujua hiyo nyumba iliyotengwa kwa ajili ya kiongozi wa upinzani yeye Lisu aliipataje na kuishi humo? Je sheria zinaruhusu hilo kwa yeye kama wakili na mwanasheria?
Waandishi wa habari hebu mkomaleni Lisu alifuata nini kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani bungeni inayojulikana kuwa ni ya Mbowe na sio Lisu?
Bila Mungu Lissu asingepona.Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Halafu waislamu wanapenda mteremko . Hawana uwezo wa kushindana kwa haki kwenye sanduku la kura bila kutoa rushwa kwa mbowe ili awalegezee uchaguzi 2025.Malaria 2 ni Islam anatukuza tajiri 😄
Kwa hiyo Lisu alikuwa akimlipa kodi Mbowe kuishi kwenye nyumba ambayo kwa sheria na kanuni za Bunge anayestahili kuishi ni MboweMbona hukumpangisha yako ili ule kodi?
Allah ndio mponaji, binaadam anaonesha mapenzi yake panapotokea matatizoBila Mungu Lissu asingepona.
Temperature sifa na utukufu Mungu, milele na milele. AMINA.
Ni sawa na JPM alipokataa kumlipa lisu pesa za matibabu….. wanahisi kama ni favor wakati ni sheria ndio inasema hivyoKwahiyo ni obvious 😂😂
Hiyo nyumba alikopigwa risasi kisheria kulikuwa nyumbani kwake? Tuanzie hapoBila Mungu Lissu asingepona.
Temperature sifa na utukufu Mungu, milele na milele. AMINA.
Shida ya watu msiokuwa na uwezo wa akili ya kujitafutia ridhiki ndio kama wewe mnaoweza kunyenyekea binadamu mwenzako kama Mungu!Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Ile Nyumba sio mali halali ya Freeman Mbowe. Hoja ijikite hapoNi kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?
Kwanini anamuheshimu sana msigwa?Shida ya watu msiokuwa na uwezo wa akili ya kujitafutia ridhiki ndio kama wewe mnaoweza kunyenyekea binadamu mwenzako kama Mungu!
Uchawa ni laana.
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Yeremia 17: 5-7
Labda lissu anajua tofautiKama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu