Tundu Lissu aliruhusiwa na Mbowe au na Bunge kuishi kwenye nyumba ya Serikali iliyotengwa maalum kwa ajili ya KUB!

Tundu Lissu aliruhusiwa na Mbowe au na Bunge kuishi kwenye nyumba ya Serikali iliyotengwa maalum kwa ajili ya KUB!

Upinzani Ndio wanatoa jina. Baada ya Mbiwe aliyekuwa anafuata ni Tundu Lissu.

Mbowe alikuwa na makazi yake binafsi ya kuishi hivyo akaridhia hiyo nyumba iksluwe na mnadhimu wa chama.

Huu ni utaratibu wa kawaida wala haikuwa favour ya kuiongelea sasa.

Ni utashi wa Mbowe acha kupotosh kama hujui
 
Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Kwa wewe hata angetaka kukuoa angekuoa bure kabisa. Lissu ni mtu ambaye ana misimamo ambayo it is hard to tame him. Nadhani huyu hatafaa kuwa Mwenyekiti wa CDM. Tumkatae twende na Mwamba kwa sasa anafaa sana. Mi nimekuelewa kwa alichofanya Mbowe kwa Lissu angefanya kwako hata angesema akuoe ungekubali. Nakuelewa.
 
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake

Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing

Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?

Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Kwahiyo john baada ya kuona wivu waliooona wakaaona dawa asiwepo ili asiendelee kuishi kwenye nyumba yenyewe sio.?
 
In whatever case, Tundu kabebwa sana na Freeman

Tunaomjua Tundu ndio tunamkataa..

Hizi porojo zenu za kwamba msaada hauna maana ni sawa vile vile wala sio mapya.

Ni nature ya watanzania waliokulia kwenye umasikini, ukiwasaidia kuna siku wata ku backstab.

Nakupa privilege and platforms na bado uje unidhihaki.... Dah, Mbowe ni gentleman sana.
Elezea unamjua kivip master?
 
Kwahiyo john baada ya kuona wivu waliooona wakaaona dawa asiwepo ili asiendelee kuishi kwenye nyumba yenyewe sio.?
Labda mwenye nyumba alitaka akaishi mwenyewe 😂😂

Unakumbuka mate wa Kibaha alimtimua Ni YEYE Ubunge 😂🔥
 
Naelewa itifaki ya Makazi ya viongozi ilivyo ndio sababu nashindwa kuelewa utaratibu gani hutumika Kiongozi kumuachia Mtu Mwingine asiyestahili Kuishi nyumba ya Serikali Kwa Dhamana yake

Nyumba za Viongozi wa Serikali ni tofauti kabisa na upangaji wa nyumba za National Housing

Ni kweli Mbowe Ndiye alimpa Tundu Lisu nyumba au ni Bunge lenyewe ndio liliamua Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani aishi pale kwa sababu KUB ana Makazi binafsi ya kudumu ?

Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Kifupi Lisu mwanasheria utapeli ulihusika hapo yeye kama wakili alihusika kula njama kutapeli bunge na mali zake ikiwemo hiyo nyumba

Nyumba kwenye makaratasi ya mkataba lazima itakuwa ilikuwa inasomeka Mbowe ndie alipewa kwa sababu hayo ni makazi ya kiongozi mkuu wa upinzani bungeni.Mbowe ndie alikuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni

Lisu hiyo nyumba aliipataje?.Sheria zaruhusu hilo?

Lisu aweza kuwa mvamizi hiyo nyumba kama makaratasi hayasomi jina lake na kwa mkutadha huo yawezekana askari walimshambulia na risasi baada ya kuona kavamia nyumba ya kiongozi wa upinzani Mbowe muda ambao wengine walikuwa bungeni ni dhana nawaza Sina uhakika Lisu atusaidie kujua hiyo nyumba iliyotengwa kwa ajili ya kiongozi wa upinzani yeye Lisu aliipataje na kuishi humo? Je sheria zinaruhusu hilo kwa yeye kama wakili na mwanasheria?

Waandishi wa habari hebu mkomaleni Lisu alifuata nini kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani bungeni inayojulikana kuwa ni ya Mbowe na sio Lisu? Tena muda ambao Mbowe alikuwa bungeni sio nyumbani kwenye hiyo nyumba yake makazi yake rasmi?
 
Kifupi Lisu mwanasheria utapeli ulihusika hapo yeye kama wakili alihusika kula njama kutapeli bunge na mali zake ikiwemo hiyo nyumba

Nyumba kwenye makaratasi ya mkataba lazima itakuwa ilikuwa inasomeka Mbowe ndie alipewa kwa sababu hayo ni makazi ya kiongozi mkuu wa upinzani bungeni.Mbowe ndie alikuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni

Lisu hiyo nyumba aliipataje?.Sheria zaruhusu hilo?

Lisu aweza kuwa mvamizi hiyo nyumba kama makaratasi hayasomi jina lake na kwa mkutadha huo yawezekana askari walimshambulia na risasi baada ya kuona kavamia nyumba ya kiongozi wa upinzani Mbowe muda ambao wengine walikuwa bungeni ni dhana nawaza Sina uhakika Lisu atusaidie kujua hiyo nyumba iliyotengwa kwa ajili ya kiongozi wa upinzani yeye Lisu aliipataje na kuishi humo? Je sheria zinaruhusu hilo kwa yeye kama wakili na mwanasheria?

Waandishi wa habari hebu mkomaleni Lisu alifuata nini kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani bungeni inayojulikana kuwa ni ya Mbowe na sio Lisu?
Mbona hukumpangisha yako ili ule kodi?
 
Mbona hukumpangisha yako ili ule kodi?
Kwa hiyo Lisu alikuwa akimlipa kodi Mbowe kuishi kwenye nyumba ambayo kwa sheria na kanuni za Bunge anayestahili kuishi ni Mbowe

Lisu anajua sheria je ni ruksa kiongozi wa bunge kupangisha mtu mwingine nyumba aliyopewa kama stahiki zake kupamgisha na kupokea kodi ?

Lisu atueleze hiyo nyumba ya kiongozi mkuu wa upinzani bungeni (KUB) yeye aliipataje? Na je sheria zinaruhusu hilo?
 
Kama mimi lissu ningalimuheshimu Mbowe kama baba yangu, kitendo cha kumnusuru maisha yake ni tosha kumuheshimu
Shida ya watu msiokuwa na uwezo wa akili ya kujitafutia ridhiki ndio kama wewe mnaoweza kunyenyekea binadamu mwenzako kama Mungu!
Uchawa ni laana.
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Yeremia 17: 5-7
 
Shida ya watu msiokuwa na uwezo wa akili ya kujitafutia ridhiki ndio kama wewe mnaoweza kunyenyekea binadamu mwenzako kama Mungu!
Uchawa ni laana.
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Yeremia 17: 5-7
Kwanini anamuheshimu sana msigwa?
 
MBOWE baba la mageuzi vyama vyote vimekufa lakini cdm inaZidi kuchanja mbuga ndiyo maana tunijadili leo
 
Back
Top Bottom