Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

..TL akielezea historia yake ya kutetea wananchi wa Nyamongo.

 
Upoloto ni like kilichojaza fuvu lako! Lupem ameuliza swali murua kwa mtu yeyote mwenye utimamu wa akili! Pamoja na Kuwa ww mzoefu humu lakini upeo wako upo chini mpaka hata ni aibu kujiita mxoefu wa jf!
Wewe ni mkimbiza mwenge tu ndiyo elimu yako. Na kula yako inategemea ulipwe Buk 7 na Pole Pole pale Lumumba.
 
Unaongea utumbo wewe, Kabla Magufuli hajawa rais aliisaidia vipi Tanzania??? Utaongea utumbo tena alijenga Madaraja.....Ni kwa pesa zake au za serikali ya Tanzania? Lissu na Magufuli wote walikuwa wabunge na wote walikuwa na kazi katika jamii...ingawa hawakuifanya bure walilipwa mishahara. Ukiwa kazini lazima unatakiwa ufanye kazi na kulipwa mishahara, Mmeshaanza kumwabudu Magufuli. Hiyo ni akili fupi.
 
Kiufupi hakuna Mtanzania aliyepigania haki za mikataba ya madini kumzidi Tundu Lissu toka Tanganyika ipate uhuru toka kwa Mkoloni Mwingereza.

Kama uzalendo ungekuwa unapimwa kwa kutetea haki za madini kwa wazawa basi Tundu Lissu angekuwa ndiye Mzalendo Namba 1. Msidanganywe na propaganda za Magufuri na Kabudi.

Atakayebisha hili anaweza hata akamkataa mama yake aliyemzaa.
 
Sio kwamba ameisaidia Tz ila anataka kuiangamiza Tz kwa usaliti wake. Akipewa uongozi nia yake bad o ni kuiangamiza Tz
 
Unavoona chato kulivyo ni Kazi ya Lissu
 
Umeongea ukweli....Huyo Magufuli toka ameingia madarakani watu wamepotea wengi, wameuawa na kupigwa risasi ovyo. Tunajua serikali ina mkono kwenye haya mauaji.
 
Thanks for a patriotic history of TL
 
Thread sa hivi naomba tuwe na umoja wetu tusijibu kabisa just view rudi rudi back ...atajibiwa na wenzake wanaopokea 7000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…