Ndugu wana bodi! Habari zenu!
Nikiwa kijana mdogo ,mwaka 1995 ,baba wa Taifa mwalimu Nyerere ,wakati akitueleza umuhimu wa uchaguzi na kuchagua viongozi bora wa taifa hili,alituasa kuwa ,tuchague viongozi watakao lisaidia taifa letu.
Mwalimu alisema kwamba ,miongoni mwa
siasa za kiongozi anayefaa kuwa Rais wa nchi hii,ni yule ambaye amewahi kuisaidia au kuifanyia maendeleo nchi yake ya Tanzania.
Tunapotaka kuchagua
kiongozi wa nchi hii ya Tanzania lazima tujue kuwa amewahi kuisaidia au kuifanyia nini cha maana nchi yake ya Tanzania.Mwalimu alienda mbali kwa kutoa mfano wa Rais
John F.Kennedy wa Marekani ,mwaka 1963 ,aliwaambia wamerekani ,wanataka awafanyie nini na sio wao wamfanyie nin.
Ni wakati muafaka kwa watanzania,kumuuliza ndugu Lissu ,JE amewahi kuifanyia au kuisadia nini Tanzania mpaka agombea cheo kikubwa kama urais?
Maana mimi naona kama amekuwa mtu wa kashifa tu.Je tutaongozwa kwa kashifa na kufika uchumi wa juu?Tumchague sasa DR MAGUFULI ILI ATUPELEKE
UCHUMI WA JUU.
Naomba tujenge hoja.TUACHE MATUSI :
I wonder ndio maana nchi yetu ni masikini kuanzia baba wa taifa mwenyewe na wewe binafsi kua na thinking wrong kiasi hiki...
Wewe,unaweza isaidia Tanzania kitu gani meaningful maana huna madaraka,huna hela,huna lolote ni mwananchi wa kawaida?
Mtu yeyote asie na madaraka yeyote,au pesa yeyote,au any position of mass change,then unaweza isaidia hii nchi kwa hali kubwa kwa baadhi ya kufanya haya:
1.Fanya kazi kwa bidii kazini kwako au biashara yako
2.Tunza familia yako kwa bidii
3.Usimuonee au kufanya crime kwa wananchi wenzako
4.Lipa kodi yako halali
5.Shiriki kwenye process za demokrasia kama kupiga kura,kuchagua au kuchaguliwa,etc
Jingine lipi unataka?
Kuisaidia Tanzania??????Kivipi yaani?
Kupika uji na kugawa barabarani?
Usikute unachanganya vitu viwili hapa,"charity" na "kusaidia nchi" which means kama ni kusaidia kama hivyo huna jeuri ya kusaidia nchi kipesa au kimaamuzi maana hakuna mwenye madaraka to effect that change needed....
Sijui unataka nini hasa?
Maana serikali ya Tanzania ni organization yenye madaraka kwa wananchi wa Tanzania above God,wanafanya lolote watakalo,wanakusanya hela watakayo,mwananchi ni powerless tiny being compared to the government,kuisaidia labda ufanye kazi bidii na kulipa kodi zako kihalali basi....
Charity ni mambo binafsi ya mtu