Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aliwahi kuisaidia nini Tanzania? Mwenye uelewa atuelezee

Uzwazwa ulionao ndio utakaufanya utakanwe mpaka uwakumbuke wazee wako kijijini, yaani mpaka leo hujajua umuhimu wa lissu? Kwanini hujiulizi kwanini walitaka kumuua mchana kweupe!?
Wewe ndio zwazwa namba moja. Badala ya kuloloma ungeelezea angalau hata moja alilolifanya. Kama huwezi aidha ukae kimya au maana yake Lissu hajafanya kitu. Ila ukitaka, endelea kutukana. Wenye akili tutaelewa.

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Moja kwa moja umeshajiondoa kwenye watu wenye sifa ya kujadili mambo ya siasa
 
Zaidi ya kuwatukana watanzania na kuwa mke wa mabeberu hakuna lingine.
Alipinga kuuzwa kwa Rufiji Delta ambayo leo tunajenga JNHPP ...
Alipinga watu wa Nyamongo kufukuzwa bila fidia...kumbuka apo bado alikua anachukua nafasi yoyote ya uongozi...
Mimi ni CCM kindaki ndaki...ila Lissu nampa kura kwakua ni kiongozi wa watanzania tu si mtawala .
 
Uzwazwa ulionao ndio utakaufanya utakanwe mpaka uwakumbuke wazee wako kijijini, yaani mpaka leo hujajua umuhimu wa lissu? Kwanini hujiulizi kwanini walitaka kumuua mchana kweupe!?
Hana msaada wowote, matusi hayauia, labda alimiminiwa risasi Sababu alipinga ununuzi wa ndege, akapinga acacia kuchukuliwa hatua, na akawa anajifanya kubonga bonga lugha kama dikteta uchwara, juma pondamali, mwana kulifind mwana kuliget
 
Itoshe tu kusema "Zaburi 92 6
Mtu mjinga hayatambui hayo, Wala mpumbavu hayafahamu. "
 
Uliwahi kuona serikali inajaribu kuua mjinga? Wapi!!
 
Wewe binafsi umeifanyia nini Tanzania? hz habari za "Mwalimu alisema" and so and so... ,uliambiwa Mwalimu ni katiba au Mungu kiasi kwamba kila anachosema lazima kiwe sheria au utaratibu?
 
Ubongo wako una makamasi kayasafishe kwanza theni urudi hapa
Kwa taaluma yake ya sheria aliwahi kutetea nini katika kesi amabayo ilipatia taifa ushindi?
Taja hata moja?
Zaidi ya kuwatetea mabeberu waendelee kutunyonya.
 
Kazi ipo! sasa imagine sasa hivi elimu ni bure sijui product zitakazotoka huko zitakuwaje
Elimu bure, je wewe unaipenda elimu bure? Watoto wa viongozi waandamizi wanasoma shule zinazotoa elimu bure?
Ukishajijibu utajua kuwa elimu bure ni kiinimacho.
 
Ukweli Mchungu n kwamba huyu jamaa n mwananadharia tu hana chochote huyu.
Sisi huku Singida tunajua.
 
mbona Lissu alianza kupigania maslahi ya nchi hii miaka zaidi ya ishirini iliyopita?
kwa hiyo kiuzalendo wa maliasili za nchi, JPM ni kama kindergarten (kijukuu) tu kwa Lissu!
 
Umewlewa lakini, huyo mtu wenu hafai kabisa,
Kama angekuwa ana nia ya kuwa raisi angeepuka kutetea kesi zinzoibana nchi, lakini yeye akawa ananufaisha tumbo lake tu.
Sasa masuala ya kuongoza nchi awaachie wenye machungu na nchi
Kwako Magufuli ndo ana uchungu na nchi?
 
Niliposoma "amelika" nikaachia hapo hapo.
 
Kila mtu anaisaida Tanzania kwa nafasi yake. Hata mkulima aliyeko kule Nkasi pembezoni analima na kulisaidia Taifa kwa chakula chake anachovuna. Kulisaidia Taifa siyo lazima uonekane kwenye TV. Kama Lissu hajalisaidia Taifa, chagua akina Mtamwega Mgaywa na Rungwe ambao wamelisaidia Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…