Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Muungwana haaminiki tena,
Idadi ya waliokua wakifuatilia siasa zake imeshuka na hakuna mtu anae mtilia maanani tena.
Wanampuuza tu na kumuona kama mtu mwenye chuki moyoni alizokua nazo tangu siku nyingi dhidi ya viongoz wenzake Chadema. Ameonekana ni kama mtu manafiki mwenye makusudi ya kuficha ushauri na kuombea mambo yaende kombo kwa viongozi wengine.
Kukosekana kwa utulivu, hekima na busara katika mambo anayoyaibua na watu anao watuhumu na kuwasingizia mambo mbalimbali bila ushahidi, kumemfanya ushawishi wake ushuke na kuonekana ni kama uzushi na uongo wa kutunga dhidi ya wenye nguvu zaidi yake ndani ya chadema.
Lisu anaingia katika historia ya wanasiasa nchini waliopoteza umaarufu, ushawishi na mvuto wa kisiasa kwa kasi mno, sababu kuu zikiwa ni pamoja na papara, tamaa na uchu wa madaraka, kukosa utulivu, hekima, busara na upendo miongni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema.
Ni vigumu sana kuaminika kwa wananchi ikiwa unahubiri, chuki, migawanyiko na ubaya dhidi ya wanaokubalika zaidi yako ndani ya chama, unawasema na kuwasingizia wengine mambo mabaya eti kusudi wewe uonekane wa maana na msafi zaidi ya pamba, kumbe ni mnafiki tu ulierubuniwa kifikra na fedha na mabwenyenye ya magharibi.
Kibaraka Utashindana Lakini Hautashinda 🐒
Mungu Ibarki Tanzania.