Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ameonyesha uharibifu mkubwa sana
Kwa kuwa nchi imekuwa yake?
Ninyi wanafiki sana, hakuna mtu anamtaka mnampamba tu ili mpate vyeo.nchi sio yake ila wananchi ndo watoa neno la mwisho
Ninyi wanafiki sana, hakuna mtu anamtaka mnampamba tu ili mpate vyeo.
Mlimpamba makonda sasa hivi hakuna amtakaye.
Ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.
Mmejua udhaifu wake kuwa mpenda sifa
Hilo sahau milele
Hajachelewa, huu ndio muda mwafakaPamoja Na Kwamba Kaja Kwa Kuchelewa Ni Kweli Hoja Yake Inatisha Inayomfanya Mtu Kuubadili Msimamo Wake. Lakini Tusitoe Hitimisho Sababu Hata Mahakamani Hutoi Hukumu Bila Kuusikiliza Upande Wa Pili Na Mara Nyingi Hutuba Kama Hizi Hujibiwa Na Mlengwa Hivyo Tusubiri Majibu Ya Magu Atasemaje Ukizingatia Wengi Wetu Watanzania Hatuchelewi Kugeuzwa Na Upepo