Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amebadili upepo wa siasa. Watanzania tumuunge mkono

nyie ongeeni mnavopenda ila ndo ivo tena tutabadilisha katiba! miaka 20 haitoshi, we nenda kampe kampan mgombea wenu dodoma uko
Hilo sahau milele
 
nchi sio yake ila wananchi ndo watoa neno la mwisho
Ninyi wanafiki sana, hakuna mtu anamtaka mnampamba tu ili mpate vyeo.
Mlimpamba makonda sasa hivi hakuna amtakaye.
Ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.
Mmejua udhaifu wake kuwa mpenda sifa
 
Ninyi wanafiki sana, hakuna mtu anamtaka mnampamba tu ili mpate vyeo.
Mlimpamba makonda sasa hivi hakuna amtakaye.
Ndivyo itakavyokuwa kwa Magufuli.
Mmejua udhaifu wake kuwa mpenda sifa

"Tutaelewana tu, ni suala la muda"
 
Hali ya hewa inaendelea kubadilika
 
Hajachelewa, huu ndio muda mwafaka
 
Arudi Sasa Huko Aliko Maana Nyumbani Kumenoga Mama Anapiga Kazi. Tuliyempenda Tundu Lisu Hakumpenda Lakini Mungu Akampenda Zaidi, Na Kwa Kuwa Inawezekana Ndiye Alikuwa Anamwogopa Basi Arudi Home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…